Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,554
Unahitaji moyo wa ibilisi hasa kuweza kufanya hiviThis is very bad, utakuwa wivu wa mapenzi tu. duh, mshana .... unataka tulie na wewe kaka? imenitoa machozi moja moja moja, hata kuyafuta nashindwa.
Kila nionapo huu mshumaa naumia sana moyoni kumbukumbu simanzi
My apology[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Kila nionapo huu mshumaa naumia sana moyoni kumbukumbu simanzi
R.I.P angel
Dr
Binti kafanya hivi kwasababu ya mwanaume siku akija kutoswa je?Pumzika kwa Amani, malaika [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Ni bora. Angejimaliza yeye akamwacha huyo malaika. Angepeta wa kumpenda na kumleaBinti kafanya hivi kwasababu ya mwanaume siku akija kutoswa je?
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Hata ibilisi hawezi kufanya hivi. Mwenyezi Mungu atampokea malaika wake InshaAllah.Unahitaji moyo wa ibilisi hasa kuweza kufanya hivi
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Kafaulu na hana maumivu tena kinachotuumiza sisi ni hizi disturbing images za mwili uharibikao! Na kwanini mwisho wake ukawa hiviSasa mkuu mshana jr huyu tuseme kafaulu mtihani au kaacha shule au kaachishwa?!!!! Samahani lakini maana tangu nisome ile mada yako inayohusu SANAA YA KIFO nimekuwa na Roho ngumu sana yaani hiyo picha naona kitu cha kawaida tu.... Ila sasa hasira zangu zinaenda kwa huyo aliyemfanyia hivyo huyo mtoto