Ni maoni yakoVita ya kikabila au Udini ni mbaya sana na ndiyo inayoweza kufanya hivi.
Tupendane wandugu sisi wote tumeumbwa na Mungu mmoja na anatupenda wote.
Zile nchi za ukame na njaa kubwa, wazazi huwa wanawaua watoto wao waliodhoofika kama hakuna matumaini ya chakula, wengine wanawatelekeza porini.
Ila hapo hapana njaa, kwani kuna rutuba nzuri, hadi maji yapo.
Dhambi ya udini na ukabila haikubaliki.
Picha inasikitisha sana sana sana, na nifundisho kwetu, katika hali yoyote ile Mungu aliyetuumba amesema
USIUE.
Always "mnyama" namuona yuko rational kuliko binadamu, sijawahi kumwona mnyama ANABAKA, anaua kwa sababu ya WIVU, anajikusanyia mali zaidi ya ANACHOHITAJI.....the list goes on ila hayo ndo BIN ADAMU anayafanyaSometimes afadhali mnyama
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Yet tunam group kwenye kundi la hayawaniAlways "mnyama" namuona yuko rational kuliko binadamu, sijawahi kumwona mnyama ANABAKA, anaua kwa sababu ya WIVU, anajikusanyia mali zaidi ya ANACHOHITAJI.....the list goes on ila hayo ndo BIN ADAMU anayafanya
Whatever the case the kid is innocent...... [emoji25] [emoji25] [emoji25]Inatosha tu kusikitika kwa hiyo picha, ila assumptions ya nini kilipelekea hapo naona kila mtu ana angle yake na sidhani kama ni nzuri sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu leo utaomba usiku usiingieKumbe na walozi nao hutiwa simanzi na vifo
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Nime-tress hiyo picha wakasema, huyo mama alimnyonga mtoto wake maana aliogopa boyfriend angemuacha baada ya kumdanganya hana mtoto[emoji102] [emoji102] [emoji102]
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Hiyo habari niliwahi kuisoma muda sana hata sikumbuki ilikuwaje hadi huyo mtoto akanyongwa..
[emoji35] [emoji35] [emoji35] akili fupi kuliko makalio ya bataNime-tress hiyo picha wakasema, huyo mama alimnyonga mtoto wake maana aliogopa boyfriend angemuacha baada ya kumdanganya hana mtoto
Hell hell! Mungu kwanini!? She's so innocent!Halafu kumbe ni mama yake mwenyewe tena kwasababu ya mapenzi kwa bwana mwingine
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
sijui uhalisia wa hii picha lakini maudhui yake yanatia simanzi mno
Rest in piece little angel
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app