PICHA: huyu ni rais wa wapi!!

Kama yule mwenyekiti wa upinzani aliyemkatisha hawara yake safari ya kibunge akaenda nae kufuja mali Dubai.

Na yule anayezalisha wahudumu wa dodoma hotel na kulelewa na kodi zetu je?
 
Na yule anayezalisha wahudumu wa dodoma hotel na kulelewa na kodi zetu je?

Huyo simjui mie namjuwa mwengine kapora mke wa mtu kamjengea, kwa fedha zetu za kodi alizokopa saccos ya Ufipa, jumba la kifahari huko mabwepande lakini jimama halitosheki kwa nyumba tu linahamu na unyumba, juzi likamwingiza the body guard kwenye majaribu, matokeo unayajuwa.
 

Kubali ukikosolewa, usiwe mbishi umekosea tu
 
Rais Masikini kama huyo atakuja na mbinu gani za kuwasaidia watu kuondokana na umasikini?
He is not inspirational.

Na asipoexperience ugumu wa maisha yanayowakumba wananchi wake ataumizwa na nn?? Ndo yalee wakiumwa ukucha tu wanatafuta nchi ya kwenda kutibiwa....
 
Kajisome ulichoandika mwanzo utanielewa tu.

Kilinganishe Na Kile Ulichoniandikia Wewe Je Kina Shabihiana? Mimi Nilitaja Uruguay Na Uruguay Kama Ulivyoniandikia Wewe? Na kuhusiana Na Kutaja Kwangu Far East Sidhani Kama Nilikuwa Nazilinganisha Hizo Nchi Na Sina Ujinga au Upumbavu Huo Wa Kutokujua Wapi Zilipo Uruguay Na Paraguay Na Far East Kuna Nchi Gani Na Nilishalielezea Hili Vizuri Kwa Mtu Hapo Juu Na Nashangaa Bado Mnalishikilia Sasa Sijui Mnataka Nini.
 
Jamaa anaongeaga matope sana kila sehemu. Binafsi hua nikiona tu ni yeye mie napita.

Hata Yesu Alichukiwa Na Aliokwenda Kuwakomboa ILA Leo Analiliwa 24/7 Na Wenye Imani Zao Hivyo Mimi Kuchukiwa Na Wewe au Na Wenzio Humu Wala Huniongezei Kitu Na Hunipunguzii Kitu Na Hata Hatujuani Humu Hivyo Yawezekana Nikawa Nachukiwa Na SHETANI Kama Siyo MSUKULE! Umesema Huwa Unapita Sasa Mbona Hapa Umenizungumzia? Ulishindwa Kupita Pia Na Leo? Mimi Naongea Matope Wewe Unachangia UHARO Wako Ulio Ktk Ubongo Wako.
 

Nimekujibu;

"Uruguay na Uruguay haipo Far East."

Kwa sababu wewe ulikuwa hujuwi kama ni Paraguay au Uruguay na ulikuwa hukujuwi kama ni Far East. Umesahau ulivyoandika?

Baada ya kukupa darsa na kukupanua uelewa wako sasa unajidai mjanja? Amma kweli Wahenga walinena "shukrani ya punda mateke" na pia walinena "tenda mema uende zako usingoje shukurani".

Hivi hiyo shule ulienda kusomea ujinga?
 


Kumbe alishaondoka madarakani? Kwa jinsi life style yake nilijua ndio ticket ya kuendelea kwa muhula mwingine zaidi maana hakuwa na maisha ya kiRais, imekuaje Wananchi wa Uruguay wakaamua kumpiga chini au ni umri ulimtupa mkono?
 
Kumbe alishaondoka madarakani? Kwa jinsi life style yake nilijua ndio ticket ya kuendelea kwa muhula mwingine zaidi maana hakuwa na maisha ya kiRais, imekuaje Wananchi wa Uruguay wakaamua kumpiga chini au ni umri ulimtupa mkono?

Nani atakae umasikini dunia ya leo?

Hata CCM waliachana na siasa za umasikini za Nyerere.
 

Huyo ni raisi wa Uruguay, raisi anayependwa na maskini kuliko wote duniani, pamoja na kwamba nchi yake ina uchumi bora, hata hio sio nyumba yake, ni ya mkewe! Anatumia ka Beetle!
Huyu ndie ajuae maana ya kuwa kiongozi, na huyu kweli alikuwa chaguo la Mungu..
 
Sijakuelewa.

Umesema nani atakae maisha ya kimasikini...nami nasema mbona wapo ikiwa ni pamoja na huyo president wa uruguay...bado kuna watu tusiopenda kujilimbikizia mali
 
Umesema nani atakae maisha ya kimasikini...nami nasema mbona wapo ikiwa ni pamoja na huyo president wa uruguay...bado kuna watu tusiopenda kujilimbikizia mali

Mimi naongelea wapiga kura. Inaonesha si wengi wapendao kuongozwa na masikini wameona atawaletea umasikini tu na ndiyo maana hawakumchaguwa tena, wameona hawafai.
 

Nasikia amepigwa chini kwenye uchaguzi toka tarehe 01/03/2015
 

Ni kweli 'au' sikuiona! Samahani mheshimiwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…