PICHA: huyu ni rais wa wapi!!

PICHA: huyu ni rais wa wapi!!

huyu nimeambiwa ni rais...je president wetu aliwahi kumtembelea huyu?na je aliwahi kututembelea Tanzania
 
Nadhani Ni Paraguay au Uruguay ILA Ninachotambua Ni Rais Asiyependa Utajiri Wala Ufahari Na Anaishi Maisha Ya Kawaida Na Ya Chini Sana. Nadhani Ni Hizo Nchi Mbili Tajwa Hapo au Nchi Za Far East. Naikumbuka Sana Hiyo Sura Kuwahi Kuiona Ktk Media.
 
Hizo nchi haziko Far East, ziko Latin America.
 
mkuu huyu ni wa Uruguay...je president wetu aliwahi kwenda huko?
 
Rais Masikini kama huyo atakuja na mbinu gani za kuwasaidia watu kuondokana na umasikini?
He is not inspirational.
 
images (1).jpg
 
Hizo nchi haziko Far East, ziko Latin America.

Uwe Unasoma Vizuri Uzi Wangu Na Kuelewa Kwani Sitaki Nikudharau Na Wewe Halafu Uanze Kuchukia. Nimesema Vizuri Tu Kuwa Anatoka Ktk Hizo Nchi Mbili Tajwa Hapo au Narudia Tena au Nchi Za Far East. Sasa Ni Wapi Nimesema Uruguay Na Paraguay Zipo Far East? au Unataka Tu Kuchukua Points ( Kupata KIKI ) Kwangu?
 
Sina historia kamili, lakini huyu raisi hajawahi kuja Tanzania wala rais wetu hajawahi kumtembelea
 
Uwe Unasoma Vizuri Uzi Wangu Na Kuelewa Kwani Sitaki Nikudharau Na Wewe Halafu Uanze Kuchukia. Nimesema Vizuri Tu Kuwa Anatoka Ktk Hizo Nchi Mbili Tajwa Hapo au Narudia Tena au Nchi Za Far East. Sasa Ni Wapi Nimesema Uruguay Na Paraguay Zipo Far East? au Unataka Tu Kuchukua Points ( Kupata KIKI ) Kwangu?
amekuelewa mkuu....kuwa kama siyo hizo nchi mbili basi itakuwa Far East!
 
Uwe Unasoma Vizuri Uzi Wangu Na Kuelewa Kwani Sitaki Nikudharau Na Wewe Halafu Uanze Kuchukia. Nimesema Vizuri Tu Kuwa Anatoka Ktk Hizo Nchi Mbili Tajwa Hapo au Narudia Tena au Nchi Za Far East. Sasa Ni Wapi Nimesema Uruguay Na Paraguay Zipo Far East? au Unataka Tu Kuchukua Points ( Kupata KIKI ) Kwangu?
Haya sasa mada inahama taratiiibu
 
huyu nimeambiwa ni rais...je president wetu aliwahi kumtembelea huyu?na je aliwahi kututembelea Tanzania

Huyo mzee Hose Mujica Aliwahi kuwa President wa Uruguay March 1, 2010 – March 1, 2015 alipoangushwa kwenye kura, sasa hivi, kuanzia 1 March 2015 Rais wa Uruguay ni huyu:

Kwa jina anaitwa Tabara Vazquez ambae pia aliwahi kuwa Rais kati ya mwaka 2005 - 2010
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom