Huyo mwingine kabambikizwa, au?Mtoto wa Obama hapo ni mmoja tu
hahahaahah yupi m kuu na huyo mwingine ni wa naniMtoto wa Obama hapo ni mmoja tu
Mtoto wa Obama hapo ni mmoja tu
Mtoto wa Obama hapo ni mmoja tu
Huyu tu ndiye awezaye kuninyima mimi usingizi na kunifanya hata ile vita yetu ya gesi Mtwara nisishiriki kupigana kuhofia kufa na kumuacha kimwana huyu.
Mungu hebu fanya fanya hata niwe naye ndotoni usiku wa leo.
yani sipati picha zingekua picha za JK wachimba kokoto wangeongea mpaka basi tena kwa matusi makali
huyu Obama ana kesi ya kujibu mbele za mungu, yaani na uwezo wote huo ameshindwa kuzaa na kuijaza dunia! tutoto tuwili tu!!!