Picha: Hizi ndio noti zetu mpya, usipoangalia vizuri unaweza kusema ni bandia

Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,491
3,998
Kadiri miaka inavyozidi kwenda na uboreshaji wa noti zetu za Tanzania unazidi kupungua. Hii note kama ni gizani unaweza kusema bandia.

IMG_20200605_140052.jpg

Ukiangalia hizi noti unaweza kusema ni bandia
IMG_20200605_135951.jpg

IMG_20200605_141253.jpg
huu mstari ndio uneniondolea was was.
Kwanzia noti za JK kufikia hizi mpya zina makasoro mengi sana.

Angalia hii yenye saini ya Balali na Mramba
IMG_20200605_140448.jpg
IMG_20200605_140342.jpg

Noti ni ya muda mrefu sana lakini bado ngumu.
 
siku hizi wakitoa noti mpya hawatoi elimu kama enzi za JK? watu wengi mtaani hawana taarifa juu ya mabadiliko ya alama kwenye noti.
 
Back
Top Bottom