PICHA: Hivi, polisi wa usalama barabarani, mmeiona hii?

PICHA: Hivi, polisi wa usalama barabarani, mmeiona hii?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,703
8611673C-4F59-4C6A-B691-D23748BD0E9E.jpeg
 
Hatari sana,
Baada ya movement ya hilo Truck,hizo sling belt hua zinakua lose,hivyo kuongeza risk ya hilo container kuanguka,hiyo truck bed sio yakubebea Container,

Uzuri hiyo picha ina mpaka namba ya simu ya mmiliki,huyu anatakiwa kuchukuliwa hatua kali sana,

Always remember,SAFETY FIRST.
 
Eh! Kumbe likiyumba kidogo linaweza kuchomoka na kulalia gari lingine! Ni hatari kweli.
Ilishatokea ajali mbaya sana ya mtindo huo maeneo kati ya Ubungo interchange na Kimara.
Miaka ya 1996 - 2002 hivi. Sikumbuki vizuri mwaka gani.
Container ililalia gari ya abiria daladala. Iliuwa watu kadhaa.
 
Back
Top Bottom