barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj Alli Hassan Mwinyi naye amewawakilisha Watanzania kwa kuweka tanzia yake katika kitabu cha maombolezo
Apumzike kwa Amani Mwendazake Lucy Kibaki
Balozi maalum anayemuwakilisha Rais ktk masuala ya misibaJK shughuli kama hizi hawezi kukosa aisee.
Tena inabidi Magufuli ampe jamaa hii kazi, ya kumuwakilisha kwenye kila msiba na sherehe nje ya nchi.
R.I.P Mama Kibaki.
JK shughuli kama hizi hawezi kukosa aisee.
Tena inabidi Magufuli ampe jamaa hii kazi, ya kumuwakilisha kwenye kila msiba na sherehe nje ya nchi.
R.I.P Mama Kibaki.
Mkuu mtu akishakufa amekufa tu.Mkuu asigwa
Ni vyema ungetumia busara yako kwa kiasi kidogo hususan kwenye jambo kama hili.
Hitimisho lako umelifanya kwa kumlinganisha na nani?soma hapa chini kuna jibu lako....Kikwete ana roho ya utu, anajua nini maana ya kuwa binadamu
Wewe haswa ndo umetoa jibu sahihi,jk analala na kuota safari,kwaiyo simshangai.Wakati JMP anatumbua majipu, anaitaji mtu wa kumwakilisha sehemu nyingine. JK ni mzuri sana kwenye hizi shughuli za misiba na safari za nje ya nchi.
Kikwete ana roho ya utu, anajua nini maana ya kuwa binadamu
Mkuu mtu akishakufa amekufa tu.
JK huyu huyu alienda kwenye msiba wa Mandela mara mbili.
Mara ya kwanza alienda kabla ya tarehe ya msiba akakuta msiba bado "haujawa hot", akarudi nyumbani akazuga siku mbili tatu, baadaye akarudi tena msibani.
Ni unafiki tu wa kiafrika kumlilia mtu akishakufa mpaka mtu anagala gala chini wakati alipokuwa hajafa, anahangaika na ugonjwa wake hakuna mtu aliyekwenda kumuona, baada ya kufa walewale waliokuwa wanalia msibani mpaka kugala gala kwa "uchungu mzito" wanagawana mpaka nguo ya ndani ya marehemu na kuwadhulumu watoto wa marehemu urithi wote.
Waafrika tuna tatizo kubwa sana.
Misiba kwetu ni "social capital" .........
Kuna Rais yupi wa nchi jirani?Magufuli na raila odinga wote hawapo msibani,siasa hizi zinatupeleka wapi jamani?
Magufuli na raila odinga wote hawapo msibani,siasa hizi zinatupeleka wapi jamani?
Sio raila tu,hata magufuli hayupoUna uhakika Laila hayupo? Tunza akiba ya maneno