Picha hii yamaanisha nini??

Picha hii yamaanisha nini??

Bongo Pix Blog

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
213
Reaction score
34
attachment.php

"A picture is worth thousands words"

Ipe maana halisi picha, bashiri wapi na lini picha ilipigwa, watakaobashiri kwa usahihi atatafutwa mshindi na kuzawadiwa, yuko mfadhili kajitolea zawadi japo hajatamka ni zawadi gani mshindi atapata.

1. Maana halisi ya picha (hii ni zaidi ya caption)
2. Wapi ilipigwa,
3. Lini.

Tuma majibu yako HAPA.
 
Attachments

  • dogo cdmcc.jpg
    dogo cdmcc.jpg
    33.3 KB · Views: 221
Maanake hao watoto wanakipenda CHADEMA ndo maana wamechora mfano wa kadi ya chama hicho
 
View attachment 38870

"A picture is worth thousands words"

Ipe maana halisi picha, bashiri wapi na lini picha ilipigwa, watakaobashiri kwa usahihi atatafutwa mshindi na kuzawadiwa, yuko mfadhili kajitolea zawadi japo hajatamka ni zawadi gani mshindi atapata.

1. Maana halisi ya picha (hii ni zaidi ya caption)
2. Wapi ilipigwa,
3. Lini.

Tuma majibu yako HAPA.

simpo mbona...

1. Kumbukumbu tu
2. kwenye kamera
3. juzikati
 
Maana yake maisha bora kwa kila mtz, ilipigwa wakati wa kampeni katika kijiji alichozaliwa kikwete
 
Back
Top Bottom