KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,319
Kwani kila barabara ni ya Magufuli?
Serikali au Tanzania ya Magufuli ni yake?
Kwani kila barabara ni ya Magufuli?
Kwahiyo hata nguo uloivaa siku ikichanika utawadharau walioishona kwasababu tu imechanika? ni nani alikwambia vitu vitaishi milele? kama ndo hivyo hata maisha yetu yasingekuwa na mwisho kamwe