So hizi ndio barabara tunazopigiwa nazo kelele? Then huyo mbinukaji majukwaani anachoniboa anaongea as if uchuro huu alijenga kwa pesa za mfukoni mwake na si kodi zetu. Next time akiongea tena huu ujinga tutaomba atueleze pia ni 10% kiasi gani alipata mpaka akajenga zile apartments adda estate na magorofa ya vimada bamaga na kwingineko.