Picha: Hii ni Barabara ya Dr.John Pombe Magufuri

Picha: Hii ni Barabara ya Dr.John Pombe Magufuri

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
ImageUploadedByJamiiForums1443432984.442533.jpg
 
sifa kwake john pombe magufuli.
 
Magufuli hafai kabisa.... Ni maneno tu na kukariri
 
Kwahiyo hata nguo uloivaa siku ikichanika utawadharau walioishona kwasababu tu imechanika? ni nani alikwambia vitu vitaishi milele? kama ndo hivyo hata maisha yetu yasingekuwa na mwisho kamwe
 
Hata hii ilipigwa picha miezi mitatu baada ya kuzinduliwa kwa mbwembwe
 

Attachments

  • 1443434089131.jpg
    1443434089131.jpg
    88.3 KB · Views: 2,737
Hebu weka picha hata ya kibanda cha mbwa alichojenga lowassa
 
Ndo maana siku hizi anaogopa hata kuzitaja tena barabara. Cheap politics hizo. Ilikuwa njia yake tu ya kupigia parcent 10 kutoka kwa makandarasi wake.
Sasa zoote zimemuumbua huyo
 
hapa kazi tu na barabara ambazo hazina viwango.
 
Hiyo barabara waliziba hilo shimo cha ajabu shimo lingine limejitokeza tena ni kero...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom