Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
Naona mchoraji alichukua picha ya space shuttle, maana kupata picha halisi ya ndege hapo Singida inabidi usubiri miezi sita. Kwa nini tabu yote hiyo, akashusha picha ya space shuttle, akaigiliza, akakabidhi na ikabandikwa!!!Mi imenichekesha hii ndege, sijui ni ya kwendea kwenye space?
Hili ni bango utakalokutana nalo ukiwa unaelekea uwanja wa ndege wa Singida uliopo maeneo ya Sabasaba.
Hii ni ofisi ya wahudumu wa uwanja wa ndege wa Singida.
Maandhari ya uwanja wa ndege wa Singida unapoingia.Hapo ndipo ndege zinapotuwa na kupaa.
Helicopter ikijiandaa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Singida.
PICHA KWA HISANI YA CHUMA BLOG
Mbona pazuri sana hapa!Kweli hii nchi viongozi hawako serious, PakaJimmy kuja pande hii ujionee maajabu ya 9 ya dunia.
Mbona pazuri sana hapa!
Na kawaida size ya jengo la kufikia na kuondokea abiria ni function ya No of pax using it!
Sijaona tatizo kubwa na kiwanja hiki, hii ni airstrip jamani!...kama zinazotua hapo ni C206, C150, C172, MT7(Maule) na Microlight(ML)aka Popobawa, unaweka jengo kubwa la nini!...itakuwa misuse ya useful public funds!
kuna mtu alijifunzia kwenye hilo bango namna ya kuchora ndege hahahaha!!
Kuna cha Mbeya nacho ni kituko.
Mi imenichekesha hii ndege, sijui ni ya kwendea kwenye space?
Mwigulu noma, kumbe ndiye mshauri wa wachoraji wa Singidani??Aliyeichora atakuwa hajawahi kuona ndege zilivyo.......alipewa oda tu CHORA HIVI na Mwigulu
kwikwikwi, na wa iringa ndo wale wale pia, nafikiri ni tatizo la kitaifa
Kuna cha Mbeya nacho ni kituko.
Aliyeichora atakuwa hajawahi kuona ndege zilivyo.......alipewa oda tu CHORA HIVI na Mwigulu