kilema na mlemavu unaweza kudhani haina tofauti, lakini kwao ina maana kubwa zaidi, mlemavu ni neno sahihi zaidi kutumia!Haya ndio madhara ya kupeleka form four failure kwenye jeshi letu la polisi!
Sasa majitu manne yamemzunguka huyo kilema inamaana anauwezo wa kukimbia?
Sawa mkuu nimeedit ila sikuwa na lengo bayaK
kilema na mlemavu unaweza kudhani haina tofauti, lakini kwao ina maana kubwa zaidi, mlemavu ni neno sahihi zaidi kutumia!
Huyo pembeni ni kada wa CCM hivyo wapo ktk kutimiza ilani ya CCM safi sanaKuna picha za kutisha tunazo ziona zinazo tokea kwenye nchi zisizo salama, hizo picha tukiziona mitandaoni, hazitushangazi kwa vile nchi hizo hazina usalama kwao kujeruhi,kuuwa,kubaka hata Kula nyama ya binadamu nikawaida tu.
Kwa hapa tz nitafauti, sababu tz inajulikana duniani kuwa ni nchi salama duniani na ni kisiwa cha amani na ni nchi yenye kulinda haki za binadamu na ni nchi inayo sifiwa kuwa polisi wake wana uweledi wa kulinda haki za raia wake.
LAKINI KWA PICHA HII HAPAkama ni ya ukweli(sio editi wala maigizo) itatuharibiya sifa ambazo jeshi letu la polisi pamoja na chama tawala (kwenye picha kuna kiongozi wa chama) walizo nazo, kwa sababu kwenye nchi zenye utawala bora, haija wahikutokea POLISI amfanyie KILEMA kitendo cha aibu kama icho
Huyo ni kamanda wa UVCCM!!Hakuna mgambo wanaovaa sare za kijani
Polisi wote waliomba kazi hiyo na wakaapa kuitumikia kazi hiyo kwa weledi!! Kama wanaona wamechoka waondoke waje wengine!!Mi nafikiri kuwa suala la kila mtu kufuata sheria halihusu jinsia wala ulemavu. Nakubaliana nao kuwa walemavu huwa wanapewa vipaumbele na kusikilizwa pale wanapokuwa na madai yao na pia hata waziri yupo kwa ajili yao. Tatizo kubwa ni hili la kila mtu akiwa na tatizo fulani basi maandamano au kufunga barabara ndo solution. Hili halikubaliki kwa community ambayo Kuna utawala wa sheria. Hakukuwa na haja ya kufunga barabara Zaidi ya viongozi wao kwenda kumuona kamanda mpinga. Polisi nao pia wanapenda kupumzika na wake zao, kucheza na watoto wao, mtoko na wake zao na kutunza familia. Sasa wanapokuwa wanavurugwa kwa mambo ambayo yanaweza kutatulika kiurahisi na wao wanakuwa na hasira maana na wao wanapenda kuishi kama watu wengine na kupumzika na matokeo yake hasira zao ndo matokeo ya hayo wanayofanya. Mfano mtu amekesha usiku kucha, hasubuh anaenda kupumzika, anaitwa tena kuwa Kuna walemavu wamefunga barabara. ILA NINAPINGA VIKALI KWA HATUA WALIZOCHUKUA DHIDI YA WALEMAVU NA IWE MWANZO NA MWISHO KUFANYA HIVYO NA HATUA KALI ZICHUKULIWE PINDI WAKIRUDIA. PIA NA WALEMAVU NAO WASICHUKUE ULEMAVU WAO KATIKA KUSHINIKIZA AU KUANDAMANA AU KUFUNGA BARABARA KWA SHINIKIZO AMBALO LINAWEZA KUTATULIKA KWA KUONANA NA VIONGOZI NA HIVYO WANA WAJIBU WA KUTII SHERIA BILA SHURUTI. OFISI YA IGP IPO NYUMA YA POSTA, WANGEWEZA KWENDA KUMUONA NA WANGEMALIZA SHIDA YAO