Picha hii inatoa ujumbe Gani kwenu?

Karume amekamata faili nene kweli...sijui ni la nini na kama vile anataka kumpa muungwana....kulia kwake viti viwili viko wazi kati yake na Vuai...kunani maana kati yao hakuna nafasi nyingine kiutawala
 
JK anatema cheche, Yusufu anachekelea, Pius anaonyesha kuwa pamoja na Jk, Ruksa anamwonyesha Karume hayo ni ya kawaida bwana mdogo, lakini Benjamin anaonyesha dialogue balance, Mzee wa Mtera yuko nyuma anatafakari mazungumzo lakini vile vile anaonyesha kutoridhika na jambo fulani la kwenye huo mjadala.:confused:
 
Alipotakiwa kujibu tuhuma dhidi yake kuhusu ufisadi alisema yeye kishastaafu siasa! Sasa kwenye hicho kikao sijui hajui kama kinahusu siasa! ndiyo huo unafiki ninaosema hapa na akitoka hapo si ajabu anapokea sitting allowance kubwa tu.

BAK,
Na majukwaa ya Hadhara hayasogelei siku hizi. Ananyata na kwenda vijijini.
 
Karume amekamata faili nene kweli...sijui ni la nini na kama vile anataka kumpa muungwana....kulia kwake viti viwili viko wazi kati yake na Vuai...kunani maana kati yao hakuna nafasi nyingine kiutawala

Nafikiri hivyo viti viwili vilivyo wazo ni vya waziri mkuu na makamu wa rais hawakuwepo kwenye kikao hicho!
 
Karume hawezi kuvisaliti vikao hivi kwani ndivyo vilivyompa URAIS sio WAZANZIBARI!
 
wanapanga jinsi ya kupata kura za KICHINA CHINA si wanajua wenye nchi tumewachoka,
 
Hiyo picha imepigwa kabla ya kikao kuanza !Mpiga picha wa Rais anaingia anafotoa picha anaondoka kikao kinaanza !
 
Huu ni ukumbi wa IKULU yetu sote WATANZANIA. Kikao hiki cha CC ya CCM kimeukodi?
 
Waoga wa kazi, wanajua kabisa cha kufanya ila wanaogopa, mie nawaonea huruma manake wako depressed, lakini hawadhubutu kukifanya, masikini,
bora sie tulioko nje tunawajudge tu.
 
hiyo picha inaonyesha kama vile mkuu wa kaya anamuomba mh. huyo wa kulia kwake afafanue jambo fulani au kama vile anamlazimisha vileeeeeeeee.....
 
hiyo picha inaonyesha kama vile mkuu wa kaya anamuomba mh. huyo wa kulia kwake afafanue jambo fulani au kama vile anamlazimisha vileeeeeeeee.....

Hilo file aliloshika Karume ndio matata yenyewe...anataka kumpa mkuu nae halitaki...kubwa kweli kuliko hata alilonalo JK mwenyewe
 
Hilo file aliloshika Karume ndio matata yenyewe...anataka kumpa mkuu nae halitaki...kubwa kweli kuliko hata alilonalo JK mwenyewe
Mwangalie Mkapa, Mwinyi na Kingunge wanavyomwangalia Karume.....
JK naye kamwekea sura ya mbuzi Karume anamuuliza vipi hapa hii habari mbona haijakaa wima?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom