N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 561
Deep Green
Deep Green
na wewe umenyamaza?Mtasema sana.......................... usiku.............
Sijui walilipia pango...ikulu si ya watanzania sio CCM?iweje wafanyie kikao pale?
Mh wanafki watupu hao🙁
una ushahidi?Mkapa mwizi!
Ina maana hivyo viti viwili vilikosa watu au vp? Karume kama anabeba makabrasha ili aondoke???
Ujumbe upo wazi, Viongozi wote wa serikali ya Mapinduzi Zanzaibar hawakuvaa uniform ya kijani ya ccm.