Alipotakiwa kujibu tuhuma dhidi yake kuhusu ufisadi alisema yeye kishastaafu siasa! Sasa kwenye hicho kikao sijui hajui kama kinahusu siasa! ndiyo huo unafiki ninaosema hapa na akitoka hapo si ajabu anapokea sitting allowance kubwa tu.
Karume amekamata faili nene kweli...sijui ni la nini na kama vile anataka kumpa muungwana....kulia kwake viti viwili viko wazi kati yake na Vuai...kunani maana kati yao hakuna nafasi nyingine kiutawala
Kweli mama umezoea jukwa la MYKKBWHalafu nanihii alivyokaa kama model maana kiuno kinakaa wima
hiyo picha inaonyesha kama vile mkuu wa kaya anamuomba mh. huyo wa kulia kwake afafanue jambo fulani au kama vile anamlazimisha vileeeeeeeee.....
Mwangalie Mkapa, Mwinyi na Kingunge wanavyomwangalia Karume.....Hilo file aliloshika Karume ndio matata yenyewe...anataka kumpa mkuu nae halitaki...kubwa kweli kuliko hata alilonalo JK mwenyewe