Picha hii inatoa ujumbe Gani kwenu?

lakini hao Waheshimiwa (Mnaowaita) wanafiki si mnawachaguwa nyinyi Wenyewe? sasa lawama za nini jamani?

Msiwatukane Viongozi wetu jamani kuweni na Heshima kama hamuwataki musiwachague tena kwenye Uchaguzi

Uko sahihi unaposema viongozi wenu na sio sahihi kuwa kila mtu aliwachaguwa!
 
Lakini kati ya vyama vya siasi CCM ni wako imara! Kwanza wana jezi moja! Wakipiga sare yao, unapata a certain message subconsciously. Pili, wana madaraka. Mkutano unafanyikia Ikulu...mezaa imeng'aa, maji kibao mezani. Hii picha ni propaganda tupu! Mnapigwa bao la wazi! Picha kama hii ikitoka katika magazeti...picha anayopata raia wa kawaida ni tofauti sana! Mtu akiangalia hii anaona umoja, prosperity, hekima, nk! Hamjafanya marketing nyie?
Kama CCM walikuwa wana kikao cha siri, wasingeruhusu picha zipigwe! Tunadanganyana hapa bure tu! THIS IS PROPAGANDA!!!!!
 
Mie naona kama Mh. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi anaonekana kususia kikao, kwa nini?

Pichani Raisi Karume anaonekana microphone yake ipo mbali naye kama vile aliisogeza mbali atimke.

Pia Mh.Raisi Karume anaonekana kukusanya makabrasha ajiondokee, huku vigogo wengine wakionekana kushangaa na kupigwa bumbuwazi.

Wengine ktk picha wanaonekana kujaribu kumsihii Mh. Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi 'usiondoke'
 
Ujumbe upo wazi, Viongozi wote wa serikali ya Mapinduzi Zanzaibar hawakuvaa uniform ya kijani ya ccm.

Na hapa Viongozi wa Zanzibar wanaongea wazi wazi tena bila kificho kwamba hatuko pamoja nanyi,kazi kweli kweli.
 
lakini hao Waheshimiwa (Mnaowaita) wanafiki si mnawachaguwa nyinyi Wenyewe? sasa lawama za nini jamani?

Msiwatukane Viongozi wetu jamani kuweni na Heshima kama hamuwataki musiwachague tena kwenye Uchaguzi

Hatukuwachagua, huwa wanaiba kura; tungewachagua kwa mapenzi yetu wenyewe tusingekuwa tunawatukana na kuonesha kwamba hatuwapendi!! They are not legitimate leaders!
 
Huu ni ukumbi wa IKULU yetu sote WATANZANIA. Kikao hiki cha CC ya CCM kimeukodi?

Hawa watu watatumiaje ukumbi wa Ikulu kuendesha kikao cha CC cha CCM,kwani ccm haina kumbi zake yenyewe,hii inaonekana wamejisahau na wanastahili kukumbushwa kwa kuwanyima uongozi.
 
kuna kitu jk atakuwa ameongea ambacho ni pumba ndio maana karume anataka kunyanyuka aondoke zake, hata jamaa mwingine(sijui cheo chake) wa zenji pembeni mwa karume nae anaonekana kustaajabu kama jk angeongea kitu kama hicho! as usual
 
Je nani atakuwa amegharamia ukumbi Chama au Serkali. Kikwete tujibie swali hili kwani nchi ni ya mfumo wa vyama vingi vya siasa. je cuf ikiomba kufanyia mkutano hapo hata kwa kulipia itapewa?
 
Bodi ya wakurugenzi wakipitia zabuni ya makampuni yaliyoomba tenda ya kutengeneza kura za kichina china hapo october, simba mtoto wa kule kisiwani akisistiza umuhimu wa bidhaa hiyo adimu ifikapo october iwe imeshatia nanga kisiwani kwani eti yahitajika sana
 
JK anamuuliza rais wa zenji vipi wenzetu mbona hamjavaa jezi (green)? halafu mzee wa ruksa na mh. kambakamba wanasema si unatuona sisi tulivyovaa, mkapa anajuuuuta kutovaa uniform maskini!!!!
 
there was no seriousness at all, if you look at them all, you will notice that only Mkapa is Seriously listening and measuring.
 
Mie naona kama Mh. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi anaonekana kususia kikao, kwa nini?

Pichani Raisi Karume anaonekana microphone yake ipo mbali naye kama vile aliisogeza mbali atimke.

Pia Mh.Raisi Karume anaonekana kukusanya makabrasha ajiondokee, huku vigogo wengine wakionekana kushangaa na kupigwa bumbuwazi.

Wengine ktk picha wanaonekana kujaribu kumsihii Mh. Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi 'usiondoke'

Ana jeuri gani mtu hana jeshi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom