The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Makamba anazidi pendeza tu..Kweli pesa haizeeshi!
Tunashangilia tuuuuuuView attachment 1353928
Inasemekana Bashiru alitumia muda mwingi kumbembeleza mzee Makamba lakini imeshindikana .
Kwa Mujibu wa Musiba ambaye ni Mtendaji wa juu wa ccm inasemekana hakuna mkubwa kuliko ccm , hao manguli unaowasema umewaokota wapi ?Haya ndo maigizo ambayo kila mwaka wa uchaguz mnadanganywaTunashangilia tuuuuuu
Lowasa tulishangilia, sumaye tulishangilia
Mwshp wote wamerud kwao
Tumebaki wnyw tunahadhirika kutoleana mimacho
Sasa hv tunaanzshiwa move ya membe ambaye tunamjua fika n mtu wa kitengo, Uongo na ulaghai n ada ya mashushushu
Hv kwel mpinzan mwny akil timamu anawezaje kuwaamin manguli wa ccm?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena hawa makamanda uchwara juzi walishangilia sana walipoambiwa na Ansbert Ngurumo kuwa akina Kinana wamejiuzulu, ha ha ha. "Sauti Kubwa" fekero.Haya ndo maigizo ambayo kila mwaka wa uchaguz mnadanganywaTunashangilia tuuuuuu
Lowasa tulishangilia, sumaye tulishangilia
Mwshp wote wamerud kwao
Tumebaki wnyw tunahadhirika kutoleana mimacho
Sasa hv tunaanzshiwa move ya membe ambaye tunamjua fika n mtu wa kitengo, Uongo na ulaghai n ada ya mashushushu
Hv kwel mpinzan mwny akil timamu anawezaje kuwaamin manguli wa ccm?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambembeleze nini na huku amekwisha jisalimisha mwenyewe mkuu Erythro!View attachment 1353928
Inasemekana Bashiru alitumia muda mwingi kumbembeleza mzee Makamba lakini imeshindikana .
View attachment 1353928
Inasemekana Bashiru alitumia muda mwingi kumbembeleza mzee Makamba lakini imeshindikana .
kumbe alikuja kubembelezewa site
Mzee makamba kabla ya kwenda kalikesha kwenye ndumba na pele kalienda na hirizi kubwa kali yenye Sumaku kubwa ikawalewesha mangula na kamati yakeKikao kimefanyika na kimeisha sasa kiherehere cha Bashiru kumkimbilia Mzee hadi nusura ang'oke meno kimetoka wapi ?
Walijiuzulu kweli lakini mwinyi Kikwete mkapa pius msekwa wazee wa CCM wakatumwa kwenda kuwaomba warejee CCMTena hawa makamanda uchwara juzi walishangilia sana walipoambiwa na Ansbert Ngurumo kuwa akina Kinana wamejiuzulu, ha ha ha. "Sauti Kubwa" fekero.
Mbona wenyewe wanasema ni "Wagoshi wa Kaya"; wewe kweli ni mtani wao au ni wa wale wa "Bondeni"?Alikuwa akikasirika anagomba hadi najikuta nacheka mbele yake, ilikuwa poa sana kufanya nae kazi, by the way wasambaa ni watani zangu aka wagosi wa kaya.
Usimsahau Che Guevara mwana mapinduzi wa matendo.Pale jalalani inaonekana pana njaa kali sana. Mara hii Dr. Bashir ana kitambi na shavu dodo.
Sasa nimeamini mjamaa wa kweli duniani alikuwa Castrol peke yake na alikufa na ujamaa wake. Wengine wote wanasumbuliwa na utapia mlo mkali na ili kujiokoa wanajibanza kwenye kichaka cha ujamaa
Ha ha ha. Makamanda hamchoki kujidanganya. Subiri msimu wa kuzungusha mikono unakuja tena.Walijiuzulu kweli lakini mwinyi Kikwete mkapa pius msekwa wazee wa CCM wakatumwa kwenda kuwaomba warejee CCM
Sorry, alimbembeleza kufanya nini? Si ameshahojiwa?View attachment 1353928
Inasemekana Bashiru alitumia muda mwingi kumbembeleza mzee Makamba lakini imeshindikana .
CCM ya sasa sio ile ya zamani, hii ni Mdebwedo. Kila mtu anatukanwa matusi utadhani wote watoto wa jamaa. Hizi "pumbaf", " shenzi sana", "bladifulu" na kadhalika ni za kufikia tuu.Kutukanwa kila siku hata ungekuwa wewe ungechoka
Jee walihojiwa? Why Dar na sio Dodoma kamati ilipokesha siku mbili kuwasubiri?mnahamisha chorus....
maluteni kanali hawawezi kwenda kuhojiwa
wanajitambua...
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe alikuja kubembelezewa site
Jee walihojiwa? Why Dar na sio Dodoma kamati ilipokesha siku mbili kuwasubiri?
Msijitie upofu kwenye hili, lolote liwalo wazee hili gemu wameshinda.
Kwani nani alisema hawatakanyaga ofisi za CCM tena?
Kusoma hamjui hata picha hamuoni?
Kweli hii CCM ya sasa sio ile ya zamani bali hii ni CCM Mdebwedo.

Huenda alikuwa havijui hivyo vifungu. Nyamwezi na Sambaa kumbe ni watani wa jadi?Nimemmiss huyu babu akiwa mkuu wa mkoa wa Dar, waislamu wenzake walikiwa wanachukia akizungumza kwa kunukuu vifungu vya biblia na si Kuraani kama dining yake.
Alikuwa akikasirika anagomba hadi najikuta nacheka mbele yake, ilikuwa poa sana kufanya nae kazi, by the way wasambaa ni watani zangu aka wagosi wa kaya.
Mkuu hivi watanzania hatueleweki kiasi hiki
Inasemekana Bashiru alitumia muda mwingi kumbembeleza mzee Makamba lakini imeshindikana.