Picha hii inanisikitisha sana

Picha hii inanisikitisha sana

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1407849806.672230.jpg
 
Inasikitisha sana kwa kweli, hata nilipoiona kwa mara ya kwanza nilihuzunika
 
Ndio wamekubali mazingira yaliopo tatizo hata mwalimu hayupo jamani!!!!
 
huyo hapo wa kwanza atakuwa mtoto wa mlugo
 
Labda Mwalimu alikuwa na camera, anafotoa
 
Big result Now.
Wanafaulu wote hao,subiri


Usishangae ukiambiwa hayo yanajiri jimboni kwa waziri wa elimu

Kuna kila sababu sasa mawaziri wapate uwaziri kwa kuomba siyo kupeana ili inapobainika hali kama hii wabanwe na kunyofolewa kwenye nafasi zao

Hivi tujiulize, kuna sababu gani waziri, katibu mkuu, wakurugenzi wa idara husika kununua magari ya anasa kwa bei mbaya (More than Ths 200 Mil.) wakati mashule yakiwa hoi, mbaya zaidi magari yenyewe wanatembelea mijini tu na wala hawayatumii kwenda kutatua kero kama hii?
 
Me is minster from the United Republic of Tanzania which the united of two states, Tanganyika and Zimbabwe....me is standby for education there, am here to present this topic of my country.....
 


Hao wanafunzi hapo, ni shule ambayo ipo katika ardhi hii hii tukufu ya Tanzania.
 
Au ndio wale wanaoingia form one bila kujua hata kuandika majina yao?? Ndio mambo yanayo nifanya niipende CCM.
 


Hao wanafunzi hapo, ni shule ambayo ipo katika ardhi hii hii tukufu ya Tanzania.

Hizo tofauti zipo karibia nchi zote duniani.. Ila kwetu tumezidi; ukizingatia miaka zaidi ya hamsini toka tupate uhuru, hatuja pata kuona vita ya aina yeyote yenye uharibifu, Idadi ya watu ukilinganisha na rasilimali tuliyojaliwa, n.k (the list is endless)

Jibu bila shaka ni viongozi, na tusisahau raia tulivyo pia. Lakini kikubwa raia akinyimwa haki zake (kama miundo mbinu na vinginevyo) unamkata miguu na mikono kwa idadi kikubwa sana..

Mungu ibariki WaTanzania! (Kwani kashaibariki Tanzania miaka mingi iliyopita - Wakoloni hawaku fuata research ya mamia ya kabila tulionazo hapo Africa, bali neema hizo hizo tunayoshindwa kuyamudu)
 
Me is minster from the United Republic of Tanzania which the united of two states, Tanganyika and Zimbabwe....me is standby for education there, am here to present this topic of my country.....

Ha ha haaaaa! Hawa ndiyo madokta na maprofesa wa ki CCM CCM eti!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom