Picha hii inanisikitisha sana

Picha hii inanisikitisha sana

ImageUploadedByJamiiForums1407970771.064429.jpgImageUploadedByJamiiForums1407970829.932683.jpg
Hivi hawa CCM wametupa limbwata gani hadi "tumelewa" kiasi cha kuwashabikia hata wanapoangamiza hivi vizazi vyetu?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Halafu rais anacheka tu. Hivi najiuliza huyu rais anaona jinsi wenzetu (majirani) wanavyo tuacha kimaendeleo?
uko rwanda mtoto chekechea ana tablet yake sisi darasa la kwanza anakalia mawe alafu tunaambiwa nchi imepaa kiuchumi uchumi gani uwoo jamani ndio uasilia wake hatuuwoni
 
uko rwanda mtoto chekechea ana tablet yake sisi darasa la kwanza anakalia mawe alafu tunaambiwa nchi imepaa kiuchumi uchumi gani uwoo jamani ndio uasilia wake hatuuwoni



Si umeona enheee. Sasa fikiria mtoto anaanza kutumia tablet toka darasa la kwanza, akifika darasa la 7 huyu mtoto atakuwa na upeo wa mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Bongo. Je, akifika chuo kikuu.
 
Si umeona enheee. Sasa fikiria mtoto anaanza kutumia tablet toka darasa la kwanza, akifika darasa la 7 huyu mtoto atakuwa na upeo wa mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Bongo. Je, akifika chuo kikuu.
watabaki kutudanganya tu elimu bure ,wakati michango kibao mpaka leo,ndio maana mbunge wa chadema alisema hii serikali imechoka dhaifu
 
View attachment 177430View attachment 177431
Hivi hawa CCM wametupa limbwata gani hadi "tumelewa" kiasi cha kuwashabikia hata wanapoangamiza hivi vizazi vyetu?


Sent from my iPhone using JamiiForums
luhala, hawa wazee ukiwapa kofia na t-shirt na sh 2000 za kunywa pombe wanakuona wewe ni Mungu.Green label wanalielewa sana hili jambo na wanalifanya kila uchaguzi.

AIBU CCM.jpgHizi ndizo kura za Green label kila mwaka wa uchaguzi
 
Last edited by a moderator:
Ma ccm katika uzi wa maendeleo kama huu hauyaone lakini kwenye umbea ma ccm hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom