theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Bashite anakula mema ya Nchi wakati Wananchi wakiishi maisha ya dhiki Sana" Inauma sana
Wanajiwekea ukuta wenyewe kati yao na wana wa nchi.Yeah....!!
Hata hiyo pia inauhalisia
Kabisaa wakat wananchi ndio wanao wafanya waish kama malaikaWanajiwekea ukuta wenyewe kati yao na wana wa nchi.
Gaza strip?
Duniani hatuwezi kufanana daima ndo maana kuna low class na high class hata enzi za kale kwenye maandiko ya dini kuna watwana
Umasikini umekithiri kwa wananchi.
Ni UKUTA utakao jengwa na kutofautisha kati ya USA na MEXICO...
Kwa maisha ya sasa hivi; matajiri watabaki kuwa matajiri huku masikini wataumbulia kuusikia na kuhisi utajiri ila kufika itakuwa kazi sana.
kidogo chetu,kingi chao
Hivi kwanini sehemu zote wanaoishi Jirani na Reli ni masikini
Huyo baba ni mjamzito mkuu?Mmmh!!!Ni mimi sioni vizuri au?Mbona kama vile ni thithiem na watanzania?
Acha nim~wahishe kwanza mja mzito kiliniki asije akajifungulia njiani kisha nitarejea....
View attachment 504678