Picha hii inamaana kubwa

Picha hii inamaana kubwa

Hivi kwanini sehemu zote wanaoishi Jirani na Reli ni masikini

Nafikiri ni kwa sababu hawanaga sehemu za kukaaa sasa hukumbilia pembeni ya reli na kujenga kwenye hifadhi ya reli maana hakuna wa kuwabugudhi, ila kwa sasa watu wa reli wameamka wanawafukuza.
 
Hivi kwanini sehemu zote wanaoishi Jirani na Reli ni masikini
Wenzio nyumba ambazo zipo karibu na vituo vya reli huwa zinagharama kubwa sababu huitaji kucommute kwenda kwenye train ila unatembea halafu wewe unalaani?
 
Wapi huko sasa maana huku Katwe au kule Kibera, Buguruni, hali mbaya
 
Back
Top Bottom