Picha hii inamaana kubwa

mfilisti

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
3,641
19,275
C-6G4NBXkAIIpdJ.jpg
 
Hahahahaaa hapo tunazungumzia dunia tuliyoahidiwa dunia yenye mito ya asali na maziwa lakini mwishowe kunajengwa ukuta kias cha kuweka na waya wa kuzuia mtu asiweze kuja ingia upande wa pili
 
Pemben kwenye vijumba ving ni maeneo ya (Uswazi) uswahilin na huko upande mwingine ni (ushuani ) kwa matajir

☆Ova☆
 
Ukitaka kujua hiyo picha Soma kitabu kinaitwa why nations fail.
Kiko free ukikisearch Google
Utajua tofauti ya Nogales Sonora na Nogales Arizona na kwa nini pande hizo mbili zinazotenganishwa na UKUTA mmoja ni masikini huku upande mwingine tajiri wakati Kuna siku walikuwa Sawa kiuchumi miaka Mingi iliyopita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom