Picha hii imenikumbusha pretty woman

gm man

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,179
1,453
Aseeh Julie Roberts alicheza Kama Vivian ward na Richard Gere alicheza Kama Edward Lewis... Edward alichukua mzigo kama masihara.. Dem alikuwa mdangaji tuu... But Edward ali fall in love 100%

Naikubali Sana hii movie
Screenshot_20180726-175842.jpg
images%20(1).jpeg
 
Aliwaringishia hadi raha...ila aliwanyoosha wadangaji wenzie si kwa bahati ile..

Yule rafiki yake Richard ni nin vile kumuharibia Julia kuwa hata yy alishamuuzia ....
Bhana weeeee.....
Hadi wazungu wanaharibiana
 
Write your reply...napenda vile jamaa anavyoongeza masaa,siku mara wiki..haaahaaa
 
Aliwaringishia hadi raha...ila aliwanyoosha wadangaji wenzie si kwa bahati ile..

Yule rafiki yake Richard ni nin vile kumuharibia Julia kuwa hata yy alishamuuzia ....
Dah Yule jamaa ni boya kweliiii
 
Back
Top Bottom