Picha hii imempa talaka.

Picha hii imempa talaka.

Mwanamke alitabasamu utafikiri hajaficha mchepuko. Ila jamani wanawake mwatudanganya sana.
Kila siku nawaeleza kuwa wanawake wana akili za ajabu na wanavifua wengine wanabisha. Hakuna kama mwanamke hapa duniani kwa akili na kutunga uongo
 
Wengine kwa zaidi ya miaka tuliwaamini ila baada ya kufungua simu zao eheee tukajiona ni viazi tu. Usichezee mwanamke hata siku moja. Heshima kwa akinamama oyeee

Hakuna kitu kibaya kama kupekua simu ya mpenzi. Ni kama kutafuta kaa la moto ulikumbatie lazima utaungua tu.
 
Hakuna kitu kibaya kama kupekua simu ya mpenzi. Ni kama kutafuta kaa la moto ulikumbatie lazima utaungua tu.
Ni vyema kujua nyoka yupo upande upi ili asikung'ate bila kujua. Ila inategemea umri wako, kama umekata shauri ni vyema na haki kujua password zote za mke wako au mpenzi wako isipokuwa ya Bank tu.
 
Noma Kweli Mchepuko alivyojificha ni hatari.
Imevunja ndoa.jpg
 
Back
Top Bottom