Picha hii imempa talaka.

Picha hii imempa talaka.

Dopas

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2010
Posts
1,151
Reaction score
392
Maskini huyu mama amefanikiwa hatua zote lakini picha hii imempa talaka.
Wajua kwanini?
 

Attachments

  • Imevunja ndoa.jpg
    Imevunja ndoa.jpg
    43.8 KB · Views: 5,229
Jamaa alikuwa amesafiri, aliporudi ghafla akampiga mkewe picha; jamaa mwenye mke alipoitazama ile picha aliyopiga akaona ama! Kumbe mkewe alikuwa amemficha mchepuko uvunguni (hasa baada ya kuona kuna mtu uvunguni mwa kitanda chao) jamaa alichofanya ni kuwa alimuua mkewe akamuacha mgoni wake hai hasa baada ya jamaa kujitetea kuwa huyo hawara aliyeuawa alimdanganya kuwa hakuwa na mke.


Jamaa alichukua hiyo picha hapo juu kama ushahidi wake mahakamani ingawa mahakama moja kule Missouri ilimuhukumu kifungo cha miaka 6 kwa manslaughter case.

Ahsante BAK kwa kuikuza na Dopas kwa kuileta thread.
 
Last edited by a moderator:
Kichwa cha habari kinapaswa kuandikwa 'PICHA HII ILISABABISHA KIFO'

CC Watu8 farkhina.
 
Last edited by a moderator:
Mie nilihisi kaficha kitu huyu mrembo ila niliangalia sikuona kitu. Kumbe alidedishwa dah! RIP Mrembo.

Jamaa alikuwa amesafiri, aliporudi ghafla akampiga mkewe picha; jamaa mwenye mke alipoitazama ile picha aliyopiga akaona ama! Kumbe mkewe alikuwa amemficha mchepuko uvunguni (hasa baada ya kuona kuna mtu uvunguni mwa kitanda chao) jamaa alichofanya ni kuwa alimuua mkewe akamuacha mgoni wake hai hasa baada ya jamaa kujitetea kuwa huyo hawara aliyeuawa alimdanganya kuwa hakuwa na mke.


Jamaa alichukua hiyo picha hapo juu kama ushahidi wake mahakamani ingawa mahakama moja kule Missouri ilimuhukumu kifungo cha miaka 6 kwa manslaughter case.

Ahsante BAK kwa kuikuza na Dopas kwa kuileta thread.
 
Mie nilihisi kaficha kitu huyu mrembo ila niliangalia sikuona kitu. Kumbe alidedishwa dah! RIP Mrembo.

Dunia ina mengi ndugu yangu BAK.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapana lol! Uwezo huo wa kumuona binadamu mwenzangu au picha yake na kuhisi jambo sinao. Na wala nisingependa kuwa nao.

Okay nlifkir ulivyomuona tu huyo mdada ulinihisi jambo
 
Mwanamke alitabasamu utafikiri hajaficha mchepuko. Ila jamani wanawake mwatudanganya sana.
 
Back
Top Bottom