Picha: Hii imekaaje?

Status
Not open for further replies.
tundu lissu mbona simwoni au ile kesi imemchanganya!
 
Uko sawa sana ndugu,watu wanakimbilia kulaumu tuu...hehehe sisi wengine u layman wa masuala ya ulinzi unatusumbua.Baada ya kuuliza kwanza naona humu mtu anamuita mlinzi limbukeni.Sitaki kuhusisha siasa hapa ila wanaobeza naweza kuwatambua
hadi hapa kwa sisi akili kubwaz tushakuelewa tayari umeingiza siasa
 
Kwa vile ni mdada usishangae kutomuona!, atakuwa kwenye.....
Wadada samahanini lakini ukweli ndio huo! .
Pasco

safi ameshituka, maana aliingia choo cha kiume. big up
 
Walikuwa wanafanya Usafi? maana hilo shati ndio lile la kufanyia usafi...
 
Hao ndio zao! . Jamaa alipaswa akiishasalimiwa auachie mkono hivyo ikambidi jamaa wa usalama aingilie kati kuuzuia mkono ili kuwaachanisha!.

Pasco
Sasa kaka Pasco ingelikuwa Obama au Kenyatta huyu usalama angelifanya hivyo? Kwa maoni yako kuna ubaya gani hapo Taslima kuuzuwia mkono wa Magufuli?
 
Hao ndio zao! . Jamaa alipaswa akiishasalimiwa auachie mkono hivyo ikambidi jamaa wa usalama aingilie kati kuuzuia mkono ili kuwaachanisha!.

Pasco
Hahahahahaha
 
Hao ndio zao! . Jamaa alipaswa akiishasalimiwa auachie mkono hivyo ikambidi jamaa wa usalama aingilie kati kuuzuia mkono ili kuwaachanisha!.

Pasco
Hata na mh Raisi inabidi apate ushauri wa kukeep distance kwani amezidi kujichanganya utadhani bado ni Waziri. Aangalie clips jinsi baba wa Taifa alivyokuwa hatabiriki jinsi ya ku mingle na watu. Nafasi yake Kiukweli watanzania tusi iunder estimate. Yeye mwenyewe ajue inabidi awe mwana usalama Namba moja.mfano ni Jamaa alomkuta mtaani akamwabia njoo tupige picha binafsi sijaikubali kwani dunia imebadirika.
 
Wewe ni mchochezi....
 

anatafuta ukuu Wa wilaya/mkoa maana ndo staili iliyopo Sasa hivi
 
Huyo mlinzi ni limbukeni.... Wamwache Rais ajitanue
mkuu huyo syo limbukeni anachofanya ni moja ya majukumu ya kazi yake so chochote kitakachomtokea rais yy atawajibijA kwA namna moja au nyngine
 
Wasamehe elimu ya usalama Wa Raising hawana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…