PICHA: Harakati za CHADEMA huko Karagwe, Kagera

hoyce

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
1,117
297

Wanachama wa Chadema katika Mkutano uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa


Katika mkutano huo mjini Kayanga, ambako Dk Slaa alisema Chadema haioni wivu wa kubuni sera na CCM ikatekeleza kwa manufaa ya watanzania


Wajumbe wakiwa katika Baraza la Ushauri wilayani Karagwe, Kagera. Hawa ni viongozi wa majimbo, wilaya na mkoa mzima. Ni utaratibu ambao ni endelevu.




Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kagera, Wilfred Rwakatare akifungua mkutano.
 

Attachments

  • photoumati.JPG
    79.5 KB · Views: 5,125
  • Umati.jpg
    83.5 KB · Views: 4,433
safi sana hoyce i do appreciate your contribution ...maandalizi ya kuunda serikali 2015 naanza kuyakubali,ccm byebye!
 
Duh, kuna mtu hapa alileta habari kwamba mikutano ya Slaa huko karagwe imedoda! Mbona sasa ni contrary kabisa? Duh, nimeamini CCM wanatapatapa sasa hivi.
 
Ahsante mkuu kwa hii taarifa iliyoambatana na picha mwanana. Blandes atakuwa ICU muda huu.
 




COME ONE NAPE....!!

WHAT MORE DO YOU WANT??


TUKUZOMEE AU TUSIKUZOMEE??

:msela: eace: :bump2:
 
Thanks hyoice for pics Nice to see, it's colourful!!Kaisho mnaenda? Mkifika kagenyi/kyerwa wawape maji yakunywa. Good work!
 
Ki vipi ikiwa mnasema wanasafirisha mali asili zetu bila MAMLAKA husika kuwakamata?
Watalia na kusaga meno pale wananchi watako wakataa kwa sanduku la kura. Na tutawapa masaa ili warejeshe kila walichokwiba na kuwaweka segerea.
 
Kazi nzur'. Kuna lile jamaa linasemaga 'niwalambe nsiwalambe' cjui liko wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…