PICHA: Harakati za CHADEMA huko Karagwe, Kagera

attachment.php

Wanachama wa Chadema katika Mkutano uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa

attachment.php

Katika mkutano huo mjini Kayanga, ambako Dk Slaa alisema Chadema haioni wivu wa kubuni sera na CCM ikatekeleza kwa manufaa ya watanzania

View attachment 72305
Wajumbe wakiwa katika Baraza la Ushauri wilayani Karagwe, Kagera. Hawa ni viongozi wa majimbo, wilaya na mkoa mzima. Ni utaratibu ambao ni endelevu.

View attachment 72306

View attachment 72307
Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kagera, Wilfred Rwakatare akifungua mkutano.

Mkuu Hoyce!

Umenifariji saaaaaaaana KAMANDA WANGU. Kuna Mwana-MAGAMBA mmoja alituvuruga hapa, eti "MAPOKEZI YA DR. SLAA YADODA KARAGWE". Mungu atamlaani yeye na uzao wake wote.

Najaribu kulinganisha hii ya Karagwe na Arusha ambako Mr. ELEPHANT anaadhirika nyumbani kwake. Yaani uwanja ni mtupu kabisa. Hata mkutano wa Diwani wa CHADEMA huwa unajaa kuliko huu wa leo hapo Arusha.

KWA VILE CHADEMA TUNA MUNGU HAKIKA MAGAMBA WAJIANDAE NA KILIO 2015. Kasi hii si mchezo.

nafarijika saaaaaaaaaaaaanaaaa!!!!!
 
Duh, kuna mtu hapa alileta habari kwamba mikutano ya Slaa huko karagwe imedoda! Mbona sasa ni contrary kabisa? Duh, nimeamini CCM wanatapatapa sasa hivi.

Jukwaa la siasa kuna watu ni waongo, usiwe unaamini kila habari wengine huandika kujitakia sifa tu.
 
Safi sana maana magamba walikuwa tayari kupoteza ukweli eti mapokezi ya dr yamedoda...nadhani alikosea yaliododa ni ya MR. Elephant
 
hata kama hizo picha ni za kwenye tukio lisemwalo.Tushasema sana hapa kwamba kujaza watu mkutanoni sio guerantee ya kupata kura.

Kama ingekuwa ndio hivyo magamba wangesafirisha watu kuwapeleka kwenye mikutano yao?
 
Nimeipenda hiyo staili,hapa bendera ya Chadema pembeni kidogo ya Taifa inapepea:clap2::clap2:.!
 
Nyie CHADEMA mna watu lakini msisahau sisi CCM tuna jeshi tena jeshi bora kuliko yote africa mashariki na hili jeshi tutakua na nguvu nalo mpaka raisi atakapotangazwa kwa mujibu wa katiba,wajumbe wa tume ya uchaguzi tumewachagua wenyewe sasa kwa akili yenu mnafikiri mnaweza kuichukua hii nchi kirahisi kihivyo?
 
Ama kuna malori yaliwaleta hawa wanachama kwenye mkutano?!

btw, naanza kuamini kauli ya Mwenyekiti Kikwete kuwa polisi ilikuwa inawasaidia CCM kukabiliana na hoja za kisiasa za Chadema, now polisi have been told to back off, ili mchezo wa siasa uchezwe na wanasiasa, na kama inavyoonekana kwenye picha itoshe kusema Chadema mwendo mdundo.
 
Kilichonifurahisha ktk yote ni kuona 99% ni wapiga kura 2015.

"Mungu ibariki CHADEMA mkombozi wetu!!" Hapa lazima Nape aimbe Peopleees......!!
 
Duh, kuna mtu hapa alileta habari kwamba mikutano ya Slaa huko karagwe imedoda! Mbona sasa ni contrary kabisa? Duh, nimeamini CCM wanatapatapa sasa hivi.
na mimi niliisoma ile thread, kumbe gamba yule alikuwa na makengeza!! nyomi yote hii? CHADEMA NI KIBOKO YAO.
 
Back
Top Bottom