Picha Halisi ya "Kigoma Mwisho wa Reli"

Picha Halisi ya "Kigoma Mwisho wa Reli"

Duh! Mbona kwenye wimbo wa leka dutigite niliiona station ya treni ya Kigoma ikiwa na afya? Hivi hapo ndo mwisho wa reli penyewe? Namaanisha terminal ya kigoma?
 
OMG, Natamaani niutembelee mji huu....sijui ntapata mwenyeji wa ukweli anitembeze KG?
 
Duh! Mbona kwenye wimbo wa leka dutigite niliiona station ya treni ya Kigoma ikiwa na afya? Hivi hapo ndo mwisho wa reli penyewe? Namaanisha terminal ya kigoma?
hii naona ni terminal ya mizigo
 
ama kweli kila lenye mwanzo halikosi mwisho, yaani huu usemi wa mwisho wa reli sikuwahi kuutafakri kiuhalisia hivi
 
Huhitaji particular mwenyeji. Kila mtu yuko tayari kukusaidia. Ukifika sema unataka MUYEGE.
Ahsante...sana So muyege ndiyo stand for what?.... Lakini lazima niende ujiji maana huko Babu wa mababu aliishisaaaaana.!!
 
Historia iliyosahaulika,I'm planning to take train Dar-Kigoma on day.im sure ntafika hapo kujionea kabla wachina hawajawahi.
 
Historia iliyosahaulika,I'm planning to take train Dar-Kigoma on day.im sure ntafika hapo kujionea kabla wachina hawajawahi.
jipange sawasawa kusafiri na treni na subiri siku JK atakaposafiri nayo
 
Back
Top Bottom