Picha Halisi ya "Kigoma Mwisho wa Reli"

Picha Halisi ya "Kigoma Mwisho wa Reli"

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
unnamed (59).jpg
 
zito yuko wapi katulia Dar anautaka urais na ubunge umemshinda,,wabongo jamani!!
 
inaonekana pamesahaulika tangu pajengwe kama pangeendelezwa pangekuwa sehemu moja ya kivutio
 
wamepasahau kabisa ila wako dar wanakula utamu wa wazaramo hata kwao hawapataki kabisa aiseeeee, wamebaki na wimbo tuu
 
Kigoma hapo upande wa pili kuna Bandari nilipoanzia safari ya kwenda Mpulungu Zambia, hapo unaweza kukata maji na kutokea DRC au ukitumia njia ya Manyovu unafika Burundi, amsha amsha ya uchumi miaka hiyo tunasafirisha Solar kwenda Kongo tulipiga Dollar hadi tukachanganyikiwa napashukuru sana palinipa japo Flats mbili tatu mujini Ndaisalam kama wasemavo watu wa ujiji.
 
Back
Top Bottom