Kigoma ina njaa ya maendeleo si ya chakula
sawa lakini pia nasikia unazalisha sana chakula huenda wanakonda kwa mengine
OMG, Natamaani niutembelee mji huu....sijui ntapata mwenyeji wa ukweli anitembeze KG?
Atakuja zito kabwe hapa. Sasa uchukue mtu mwenye njaaa then mwambie akagawe chakula unategemea nini? Alikotoka zitho ndio huko then akilewa vogue na hela si atasaliti chama
Sasa nimejua kwanini Zitto kaacha kumalizia gofu lake la ndege beach...
Ahsante...sana So muyege ndiyo stand for what?.... Lakini lazima niende ujiji maana huko Babu wa mababu aliishisaaaaana.!!