Picha Halisi ya "Kigoma Mwisho wa Reli"

Picha Halisi ya "Kigoma Mwisho wa Reli"

Muyege ni kijana yeyote asiye na ishu maalum ambao pale Kg wapo kibao kuwasaidia wageni. (watalii kwa wasio watalii)
natamani kufika Kgm aisee kumbe kuna hata watalii au wanaona mwisho wa reli?
 
attachment.php


Another view of the same mwisho wa reli.

In my opinion it is awesome.
 

Attachments

  • Kigoma.jpg
    Kigoma.jpg
    75 KB · Views: 551

ukwel kwa survey za station zote tz za rel ya kati nizijuavyo hakuna station bora na nzuri kama ya mwisho wa rel, hiyo moja. Pili niambie mkoa wowote tz ulioendelea sana,mkinijibu ntarudi kushusha nondo za uhakika. Hii nchi maskin yote hakuna cha mbeya,dsm,dom,arusha and wherever
 
Ndio maana majamaa wa huko wabishi sana kama ambavyo treni inabisha kuendelea na safari beyond hapo!
 
Ndio maana majamaa wa huko wabishi sana kama ambavyo treni inabisha kuendelea na safari beyond hapo!

ni ishara ya utimamu kulidadisi wazo kabla hujalikubali....aristotle. Pia mwanasaiokolojia howard gardener kwenye utafiti wake alikuja kitu kinaitwa multiple intelligence na linguistic intelligence is part of it. Adadisie hoja au wazo la laymen hutumia lugha akidominate the league is likely to be called mbishi. Karibu we mtumia techno.
 
Watajalije Reli na treni wakati Wao wenyewe wana Malori ya mizigo...unafikiri watakula wapi wakishawatengenezea...?? Acha mizigo yote na abiria wote wasafirishwe na mabasi plus malori ili wapate kununua magari zaidi...





Hakuna anaepajali!? hata mwakyembe?
 
Watajalije Reli na treni wakati Wao wenyewe wana Malori ya mizigo...unafikiri watakula wapi wakishawatengenezea...?? Acha mizigo yote na abiria wote wasafirishwe na mabasi plus malori ili wapate kununua magari zaidi...

Duuh hapo kweri
 
Back
Top Bottom