PICHA: Elia Michael aizika CHADEMA Kakonko

Rejea kwa wenzake wapuuzi Kama yeye kura za maoni walipojikunyata baada ya kugaragazwa
 
Aya mwambie aizike Sasa, Kati ya yeye na cdm Nani kazikwa ?hata kura 5 za maoni hajafika
 
Aliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa Gwarama msomi wa UDMS
Msomi wa UDMS! Hicho chuo kipo China au?
Imekula kwake na ukatibu tarafa wake atafia huko Nyambaf.
 
Walikuwa wanamsanifu tu na kwenye kura za maoni wamemuonesha kuwa ccm ina wenyewe na wenyewe ni wale wenye rangi ya kijani zaidi
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…