Picha: Dkt. Magufuli

Picha: Dkt. Magufuli

Fisadi Lowassa nasikia baada ya kukatwa na wapiga kura oktoba 25 ana nia ya kuwa mwenyekiti wa chadema
 
KUTOKA MAKTABA: DKT.JOHN J.P MAGUFULI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM MWAKA 1985/1986View attachment 273077
Kutoka Kushoto: Dkt.Abel Minani, Dkt.John P.J Magufuli na Dkt.John Kyaruzi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam muhula wa mwaka 1985/1986.

Dah! nimewakumbuka wote; Minani alikuwa akisoma Physics na Math kama sikosei wakati Kyaruzi alikuwa Math na Computer Science. Nadhani picha hii ilipigiwa somewhere Hall Four; sijui jamaa hawa wengine wako wapi siku hizi ingawa ninajua kuwa mwanzoni mwa miaka ya tisini Kyaruzi alikuwa Canada.
 
Tangu atambue kuwa Funguo zipo Ukawa naona kaishiwa nguvu kabisa.
02082015.png
 
Sehemu Zote Tunaenda Sawa Ila Kuhusu Suala La Lowassa Nadhani Tunagawana Njia Za ITIKADI.
Na tugawane tu maana hamna namna.
Ila uzuri unamkubali Lowassa kwa nyota yake hadi unafikia hatua unatamani kuwa kama yeye....
Tofauti na mimi ambaye simkubali Magufuli kwa lolote.
 
mkuu sio fisadi nakutajia na mengine

1,kuwapa sumu watu akishilikiana na apson
2,kuweka vipandikizi kwenye vyombo vya dora na kuvifanya kuonekana kama vyombo visivyokuwa na weredi wowote na akijua ni hatari kwa mstakabali wa taifa ,
hayu tu yanamfanya kukosa sifa,



Umesahau Na Ile Ya Kumbandua 0713 Serunkamba Katika Ile Hotel.................!
 
Back
Top Bottom