Picha: Dkt. Magufuli

Picha: Dkt. Magufuli

Na tugawane tu maana hamna namna.
Ila uzuri unamkubali Lowassa kwa nyota yake hadi unafikia hatua unatamani kuwa kama yeye....
Tofauti na mimi ambaye simkubali Magufuli kwa lolote.

Bado Hujalala Tu Dada? Timiza Majukumu Ya Ndoa Yako Sasa Dada Kwani Sitaki Baadae Uje Uniletee Malalamiko Kuwa Shemeji Yangu AMEKUACHA Kama Siyo AMEKUTEMA.
 
...makufuli tunavunja na pombe tunamwagaa...
 
Bado Hujalala Tu Dada? Timiza Majukumu Ya Ndoa Yako Sasa Dada Kwani Sitaki Baadae Uje Uniletee Malalamiko Kuwa Shemeji Yangu AMEKUACHA Kama Siyo AMEKUTEMA.
Hahahaaaaa umeanza sasa....naona nimekukamata kwelikweli hadi umekosa pa kupumulia ikabidi utoke nje ya maada...
Hata hivyo shemeji yako kasafiri, na haachwi wala kutemwa mtu hapa. ...
 
Rais hachaguliwi kwa ramli tulia utaona 0ktoba 25.

Ona hili li-shirikina linadhani kila mtu ni mchawi kama yeye!
Wewe amini hizo ramli zako, mimi naamini katika Mungu Mmoja.
Na Lowassa ni mpango wa Mungu.
 
Back
Top Bottom