Picha: Dkt. Magufuli

Picha: Dkt. Magufuli

Mlonganzila

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
99
Reaction score
26
KUTOKA MAKTABA: DKT.JOHN J.P MAGUFULI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM MWAKA 1985/1986 f19261837eec8f0ce496e1a4a512baab.jpg
Kutoka Kushoto: Dkt.Abel Minani, Dkt.John P.J Magufuli na Dkt.John Kyaruzi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam muhula wa mwaka 1985/1986.
 
Ukweli unauma UKAWA ndio kuna funguo za nyumba nyeupe ya pale magogoni 囧k
 
rais wetu magufuli tutalipa kwa kile ulichotufanyia kila kona ya nchi hii,
 
ccm haikubaliki tushirikiane kuitokomeza

"safari ya matumaini inaendelea", edward ngoyai lowassa
 
Sidhami kama ni mwaka huo, ukisoma CV yake alisoma udsm kwenye 1990
 
Back
Top Bottom