Noooo. Lazima uwe na LNB ya C band na dishi kubwaHivi hilo dish la startimes nikiliielekeza mashariki kwenye intelsat 906 nikiwa na receiver yangu ya freesat nitapata channel za bure jumla ngap?
kwa hapa tanzania inawezekana kabisa Kupata sat hizo 4 kwa dish moja la ku.28,16,7,na 5 ila hiyo 42 ambayo inaitwa nigcomsat ngumu sana kuipata tanzania hata kwa ft8 tumeisaka holaCheckini hiyo picha hapo
Jee inawezekana kwa cc wa mikoani na tukapata channels za kutosha?
Kwa wastani mtu aliyefunga hivyo anaweza kupata jumla ya channels ngapi?View attachment 876195
Mi nna Smart LNB mpya hizi za DStv , natumiaje hili dish kupata ItV na kina Chanel 5? Maana Decoder ninayo ya Explora Model 2A lakini hazipo hizo chaneli kwenye compact plusNoooo. Lazima uwe na LNB ya C band na dishi kubwa
...Hivi hilo dish la startimes nikiliielekeza mashariki kwenye intelsat 906 nikiwa na receiver yangu ya freesat nitapata channel za bure jumla ngap?
Kama zipi?...
utapata chaneli nyingi za kiswahili kwa 70.5e na 75e kwa dishi moja la startimes.
tumia app ya satfinder kupata uelekeo wa 70.5e na lock dish na lnb ya kwanza hapo.
chukua lnb ya pili na ifunge juu ya lnb ya kwanza, utapata 75e.
kwa 70.5e utapata bamba za kenya na 75e utapata za tz
...