(Picha)Dishi dogo la KU band kufungwa lnb zaidi ya moja hapa zipo nne inawezekan?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,626
Checkini hiyo picha hapo

Jee inawezekana kwa cc wa mikoani na tukapata channels za kutosha?

Kwa wastani mtu aliyefunga hivyo anaweza kupata jumla ya channels ngapi?
FB_IMG_15377816710027061.jpg
 
Hapa utatumia receiver moja kupata satellite nne.Lakini kwa hizi satellite zilizoonyeshwa kwenye picha hazipatikani Tanzania labda mbili tu ndo utapata channel za zuku au startimes.
 
Hivi hilo dish la startimes nikiliielekeza mashariki kwenye intelsat 906 nikiwa na receiver yangu ya freesat nitapata channel za bure jumla ngap?
 
Nilkuwa naangaila na haya madude kipindi nipo Mdogo daaah sasahivi nimesha kuwa mgeni kiasi...

Una nunua jointers ambayo ita kusanya taarifa toka ktk lnb hizo NNE na kupeleka ktk wire mmoja kuelekea ktk receiver...

Sasa signals kuangaika nazo ili upate unacho kitaka... Mambo ya signal weak...

Muda sana...
 
Checkini hiyo picha hapo

Jee inawezekana kwa cc wa mikoani na tukapata channels za kutosha?

Kwa wastani mtu aliyefunga hivyo anaweza kupata jumla ya channels ngapi?View attachment 876195
kwa hapa tanzania inawezekana kabisa Kupata sat hizo 4 kwa dish moja la ku.28,16,7,na 5 ila hiyo 42 ambayo inaitwa nigcomsat ngumu sana kuipata tanzania hata kwa ft8 tumeisaka hola
 
Inategemea upo mkoa gani hapa kilimanjaro mwanga nigcomsat inapatikana kwa 6ft pf
 
Hivi hilo dish la startimes nikiliielekeza mashariki kwenye intelsat 906 nikiwa na receiver yangu ya freesat nitapata channel za bure jumla ngap?
...
utapata chaneli nyingi za kiswahili kwa 70.5e na 75e kwa dishi moja la startimes.
tumia app ya satfinder kupata uelekeo wa 70.5e na lock dish na lnb ya kwanza hapo.
chukua lnb ya pili na ifunge juu ya lnb ya kwanza, utapata 75e.
kwa 70.5e utapata bamba za kenya na 75e utapata za tz

Kama zipi?
 
Back
Top Bottom