sonaderm
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 618
- 1,817
Kuna kitu nilikuwa natafuta na kwa bahati mbaya ikanilazimu kuingia chumba cha shemela na alikuwa sebuleni..Nilichokiona ni siri ya nafsi yangu ila nikaona niwashirikishe..Shemela katupa kufuri lake na kwa bahati mbaya ni chafu hatari..Kwa ufupi shemela sio msafi kabisa na ni KE..Naanzaje kumwambia dada yake?Ushauri wanajamvi...