Picha: Chupi ya shemeji

Picha: Chupi ya shemeji

unaanzaje kuingia chumbani kwa mtu bila ya mwenye chumba kuwa na taarifa?
 
Hayo ndiyo malezi umelelewa?
Haya weka chupi na pedi yako tuione.........
 
Yani huyu alie post hii disgusting thread, mdogo wa mke wake ndio mwenye hilo kufuli.
Ina maana yeye ameingia kwenye room ya mdogo wake mkewe.
Swala la yeye kukaa na mke washauriane analileta huku. Ipo siku ataweka na ya mke wake.
 
wewe ni me au ke?
kama ke kwa nini usiseme wifi.
 
Back
Top Bottom