Picha:Chopa ya CUF Igunga

Mlikuwa hamna jinsi kuwaiga wanaume si uliona wananchi walivyotimua kwenye mikutano yenu baada yakuona chopa ya chadema, mlipogutuka tu wananchi walikuwa wameshazoea kuona chopa hata zilipokuja za ccm na cuf hawakuwa na jipya tena
 

Usiwadanganye vijana wadogo humu. Hivi mgombea wa Chadema hapo Igunga alipata kura ngapi kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana?
Chama kilichopata zaidi ya kura 11,000 mnataka ndio kisisimamishe mgombea na kikisimamisha kinatumiwa!

Hebu weka siasa pembeni halafu watazame wagombea wa CUF na Chadema, halafu muone nani mwenye uwezo hata wa kujenga hoja achilia mbali umadhubuti.

CCM ikishinda ni kwasababu Chadema ndio mmekwenda kuzigawa kura Igunga! Hivi hamjui hata strongholds zenu!

Ni kutoelewa, ujuha au makusudi?!! Anyway tunajua kuna picha zinapigwa na kutumwa nje kwamba chama kinakubalika!!
 
Hizi helikopta za vyama mbali mabali zinawatia wananchi vumbi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…