Siasa za TZ kweli kituko yaani badala ya wanasiasa na wananchi kujadili hoja za maana na kuziwekea mikakati na kusimamia utekelezaji wake, tunajadili Bi Fatuma Kimario kavuliwa Hijab, CDM wametaka kumteka Mbunge wa ccm, Rage na mguu wa kuku kiunoni, sisi tutaleta chopa mbili wao moja na chopa ya cuf kubwa kuliko zote nk. Kwa ubwege huu RA ataendelea kutupiga hadi hadi tutie akili leo kesha hakikishiwa mkwanja wake wa DOWANS. Sisi badala ya kukubaliana tusilipe au tufanyeje kuepuka dhahama hiyo ya 94bl tunajadili chopa ya cuf kubwa kuliko za ccm na cdm. kwa vichwa hivi vya panzi sijui kama tutafika
Mzee wa shamba kila siku unasisitiza malengo mahususi ya hivi vyama vya upinzani yajullikane watu huwa wanakuona unapoteza muda. Igunga CHADEMA wanaomba CUF ishindwe na CUF nao wanaomba CHADEMA washindwe. Maana yake vyama hivi viwli vikishindwa vitakuwa nafuu kwao kuliko kimojawapo kikishinda. Bora CCM ishinde ili vyama hivi viendelee kuwepo kimojawapo kikishinda lazima kingine kife!!Siyo wa CCM?
Hii imefunika igunga,na ndio chopa kubwa kuliko za ccm na chadema
Tanzania ni nchi tajiri sana ..hapa mkiniambia kuwa maisha ni magumu sitawaelewa kabisa..
Kipofu kaona mwezi. Ngoja tusubiri tambo za Mtatiro. Lakini mwisho wa yote CCM na CUF mtaishia kugawana kura.kwa taarifa yako mikutano na matukio ya CUF CDM huwa hawasogei viongozi wao walikwisha wazuai isipokuwa mashushu wao wawili ama watatu.eti wanaogopa CUF inawateka sana.HIYO NDIO CUF HALISI.Subiri tarehe 2 ushuhudie mweleka wa CDM igunga.
Siasa za TZ kweli kituko yaani badala ya wanasiasa na wananchi kujadili hoja za maana na kuziwekea mikakati na kusimamia utekelezaji wake, tunajadili Bi Fatuma Kimario kavuliwa Hijab, CDM wametaka kumteka Mbunge wa ccm, Rage na mguu wa kuku kiunoni, sisi tutaleta chopa mbili wao moja na chopa ya cuf kubwa kuliko zote nk. Kwa ubwege huu RA ataendelea kutupiga hadi hadi tutie akili leo kesha hakikishiwa mkwanja wake wa DOWANS. Sisi badala ya kukubaliana tusilipe au tufanyeje kuepuka dhahama hiyo ya 94bl tunajadili chopa ya cuf kubwa kuliko za ccm na cdm. kwa vichwa hivi vya panzi sijui kama tutafika
Mkuu hata mie nimeshangaa, kumbe CUF iko kule kuiangusha Chadema?Siyo wa CCM?
Hii imefunika igunga,na ndio chopa kubwa kuliko za ccm na chadema
maskini igungaa hawajawahi kupelekewa hata ka helicopter na rostam?mh kazi ipo...waone wanavyoshangaa kwa picha hapo..
CUF imepewa kazi ya kuipotezea lengo CDM. Kila CDM inapotaka kulenga bunduki zake kwa CCM, CUF inajitokeza na kuingilia kati ili CDM ipoteze shabaha. CUF wanajua kuwa wamo kwenye kampeni kwa madhumuni ya kuitibulia CDM. Hivi utamu wa muafaka unawafikia CUF wote au Maalim Seif na wenzake wanakula kwa niaba yao? Mbona Lipumba hasikiki kwenye kampeni za CUF, pamoja na kuwa mtu wa Tabora, lakini anayesikika ni Mtatiro. Prof hana mvuto tena nini?Mzee wa shamba kila siku unasisitiza malengo mahususi ya hivi vyama vya upinzani yajullikane watu huwa wanakuona unapoteza muda. Igunga CHADEMA wanaomba CUF ishindwe na CUF nao wanaomba CHADEMA washindwe. Maana yake vyama hivi viwli vikishindwa vitakuwa nafuu kwao kuliko kimojawapo kikishinda. Bora CCM ishinde ili vyama hivi viendelee kuwepo kimojawapo kikishinda lazima kingine kife!!
Haya nayo ni maajabu ya nane ya Dunia!!
Hapa na mambo ya kabumbu wapi na wapi.Wengine walikuwa wanaamini CDM ndio pekee wenye uwezo wakutumia Helcopter. Leo CAF kutumia helcopter mapovu yanawajaa oh watu wanateseka oh watu wanazungumzia chopa, acheni wivu wa sifa nyie aagh.
CUF imepewa kazi ya kuipotezea lengo CDM. Kila CDM inapotaka kulenga bunduki zake kwa CCM, CUF inajitokeza na kuingilia kati ili CDM ipoteze shabaha. CUF wanajua kuwa wamo kwenye kampeni kwa madhumuni ya kuitibulia CDM. Hivi utamu wa muafaka unawafikia CUF wote au Maalim Seif na wenzake wanakula kwa niaba yao? Mbona Lipumba hasikiki kwenye kampeni za CUF, pamoja na kuwa mtu wa Tabora, lakini anayesikika ni Mtatiro. Prof hana mvuto tena nini?
CUF hawajui hata wanayetakiwa kupambana naye siku wakijua uchaguzi utakuwa umekwisha.
Usijali ni mke na mme walikuwa wanateteana tu si unajua mke hamtupi mme kwenye matatizo.Umejisemea kuwa mpinzani wa CUF ni CDM sio?? kwa hiyo CCM sio tishio, au CUF = CCM, kwa hiyo yeyote atakayeshinda hapo atakuwa amembwaga CDM.
siasa uchwara ndio hizi sasa.
Siyo wa CCM?
Ina maana CCM wametoa MAHARI ili kuhalalisha ndoa yao???nimepata taarifa hii chopa ya caf wamepewe na ccm.