PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

mleta mada, twasubiri full story kama ulivyoahidi. Chadema Mungu awabariki waendelee kupambana kutetea haki za wengi.

kila siku nikiwasikia hawa watwana wetu, hujifariji kwa kuwaponda chadema eti miaka mitano c mingi. what will happen after five yrs wananchi bado wakaunga mkono VYAMA MBADALA HASA CHADEMA?
MUNGU tuoongoze vijana, tuwe na busara za kuwashawishi hata wazee waliokulia ndani ya CCM, wabadili mwelekeo, wapime tangu waipe ccm kutawala wamefanya nini kuleta maendeleo ya jamii?

ccm wazushi wamechoka, tuwapumzishe.
Wewe umecomment leo kwenye hii thread na bado unauliza full story! are u realy serious? ina maana bado huna taarifa ya kilichojili Arusha!! any way boftya hapo juu kwenye fikra pevu ili upate full story.
 
Hahahahaha Picha remix hii sio yenyewe nilikuwepo uwanjani wadau ziangalieni picha hizi ni za kuunga! Kweli uongo ni aina ya unafiki! Angalieni picha hizi vizuri zimechakachuliwa!
<br />
<br />

Nimekodoa macho mpaka yameuma lakini sijaona hapo zilipoungwa! Acha uongo!
 
Hahahahaha Picha remix hii sio yenyewe nilikuwepo uwanjani wadau ziangalieni picha hizi ni za kuunga! Kweli uongo ni aina ya unafiki! Angalieni picha hizi vizuri zimechakachuliwa!

Pole sana ndg yangu! kama picha zimechakachuliwa na kuungwa kama unavyosema, mie ni shahidi maana nimeangalia kwenye TV walipokuwa wakirusha ITV, aisee, ni noma! umati ni mkubwa sana sana sijawahi kushuhudia kwa chama kingine. sasa sijuwi utasema video clip ya ITV imechakachuliwa????
 
chadema-arusha1.jpg

chadema-arusha2.jpg

Sikusita kuhudhuria mkutano wa CDM pale Arusha uliohutubiwa na viongozi wake wa kitaifa
 
Attachments

  • P1010353.JPG
    P1010353.JPG
    1.1 MB · Views: 43
Jk atakuwa ameuona umati wote huu wa wananchi wote wa Arusha. Mpaka wahindi walihudhuria. Hii inaonyesha ni jinsi gani wananchi walivyochoka na serikali ya kikwete
 
  • :lol: Only Time will Tell, CHADEMA INA NGUVU YA KANISA, UNAONA UBABE NA VITISHO WANAVYOTOA WAKATI WANAPODAI WANCHOKIITA HAKI? INGEKUWA NI CUF UNGESIKIA A LOT OF BLAA BLAA! LAKINI LETS WAIT AND SEE!

  • :lol: Only Time will Tell, CHADEMA INA NGUVU YA KANISA, UNAONA UBABE NA VITISHO WANAVYOTOA WAKATI WANAPODAI WANCHOKIITA HAKI? INGEKUWA NI CUF UNGESIKIA A LOT OF BLAA BLAA! LAKINI LETS WAIT AND SEE!

wewe umetokea wapi tena, kwani ukichelewa lazima u comment kila jambo hata lililopita?
Nguvu ya kanisa maana yake nini, ushaanza kuleta udini sasa, au umetumwa na al shabab?
Kwa hiyo hapo ndo umetumia akili yako yote ku comment kiutumbo utumbo hivyo? shame on you , on your teachers
 
Laiti chadema wangekuwa na uungwaji kama huu katika mkoa kumi tu ya tanzania bara sijui wanamagamba wangelalaje
 
siokweli kwamba chadema inatumia ubabe na vitisho kudai haki bali wanatumia akili na maalifa
kudai haki ndiomana wanaungwa mkono na mamia ya watu wa kila lika
 
Viva chadema, zidumu fikra za chadema na walaaniwe magamba.i wish tanzania yote ingekuwa kanda ya kas.saa ya ukombozi

Upuuzi huu ndio ulio fikisha magamba walipo!Fikra sahihi na si fikra tu!CHADEMA ikiacha misingi yake,nahama!!!HONGERA makamanda!
 
  • :lol: Only Time will Tell, CHADEMA INA NGUVU YA KANISA, UNAONA UBABE NA VITISHO WANAVYOTOA WAKATI WANAPODAI WANCHOKIITA HAKI? INGEKUWA NI CUF UNGESIKIA A LOT OF BLAA BLAA! LAKINI LETS WAIT AND SEE!

Aiseee hapo ndio mwisho wako wa kufikiri eti?
 
nawabarikiwe wale wanaotumia muda na mali zao kwa maslahi ya tunaokandamizwa na hawa wadhalimu. Wabarikiwe wote wanaozungumza kwa niaba ya wale walionyimwa fursa ya kutoa na kusimamia haki zao.

Long live cdm
 
Back
Top Bottom