mleta mada, twasubiri full story kama ulivyoahidi. Chadema Mungu awabariki waendelee kupambana kutetea haki za wengi.
kila siku nikiwasikia hawa watwana wetu, hujifariji kwa kuwaponda chadema eti miaka mitano c mingi. what will happen after five yrs wananchi bado wakaunga mkono VYAMA MBADALA HASA CHADEMA?
MUNGU tuoongoze vijana, tuwe na busara za kuwashawishi hata wazee waliokulia ndani ya CCM, wabadili mwelekeo, wapime tangu waipe ccm kutawala wamefanya nini kuleta maendeleo ya jamii?
ccm wazushi wamechoka, tuwapumzishe.