PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

Hivi Viongozi wa CCM wakiona picha kama hii vichwani mwao wanaona nini?Hakika uwa siamini kuwa kuna kiongozi huwa anaona umati [ukiita ni genge au kundi ni makosa huu ni umati] na anauchukulia kama wahuni kama walivyozoea kuwaita,jamaini itakuwa ni wendawazimu uliopitiliza.

Poleni CCM endelezeni mbwembwe zenu za kujivua gamba na kuwalea mafisadi wanaopeleka chama chenu kaburini.Mnapaswa kutishwa na mahitaji ya UMATI HUU na sio MAHITAJI YA WATU WASIO ZIDI MIA MOJA NA HAMSINI.

ITAKUWA NI AIBU NA KIFO CHA CHAMA CHAO NA HATIMAE KUKUMBANA NA HUKUMU YA UMMA ambayo ni mbaya na ina aibu kubwa sana kwa wahusika, familia na marafiki wao.

Wajifunze kupitia PICHA, kwani WACHINA WANASEMA PICHA UZUNGUMZA MARA ELFU MOJA [A Picture Speaks a thousands words]

CCM endeleni kuwapuuza wanauamati huuu.

Nchi hii ina watu wengi katika mikoa mbalimbali, lakini nyie kila siku ni Arusha tu??? sijawahi kuwaona katika mikoa mingine. Na wewe kwa mtizamo wako unadhani ni watu wa Arusha pekee ndio wa kuifikisha CMD magogoni?
 
Tutakuletea soon za Sugu akihutubia Uma wa wana Mbeya ili usiseme tena
 
  • :lol: Only Time will Tell, CHADEMA INA NGUVU YA KANISA, UNAONA UBABE NA VITISHO WANAVYOTOA WAKATI WANAPODAI WANCHOKIITA HAKI? INGEKUWA NI CUF UNGESIKIA A LOT OF BLAA BLAA! LAKINI LETS WAIT AND SEE!

unafikiri kwa kutumia masaburi mkuu!
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hii leo kimefanya mkutano mkubwa jijini Arusha ambapo kimetoa ufafanuzi juu ya maamuzi yake kuwavua uanachama waliokuwa Madiwani wa chama hicho.

Ikumbukwe kuwa jana Godbless Lema alishatoa CD ya kuonyesha kilichojiri hadi kupelekea madiwani hawa kufukuzwa chamani.

Hii leo chama hicho kimekusanya umati wa wananchi ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amehutubia. Tutawaletea taarifa kwa kirefu lakini pata picha hizi kama zilivyowasilishwa na mdau wa JamiiForums:

chadema-leo.jpg

Mbowe akihutubia umati wa wananchi hii leo katika uwanja wa NMC​
photo1.jpg
umati.jpg

Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria mkutano wa CHADEMA hii leo

Kimeongelewa nini, nini kilichojiri nyuma ya pazia? Fuatilia FikraPevu kesho
CHANZO: CHADEMA ‘wauteka’ mji wa Arusha! | Fikra Pevu | Kisima cha busara!

Asante mkuu tunasubiri kilichojiri huko
 
Last edited by a moderator:
Dah, CHADEMA wana nguvu sana, CCM wakiona hivi wanaleta FFU!..

Nimefurahi kuwaona wananchi wenzangu wakiwasikiliza wana- mapinduzi wa kweli – CHADEMA.
Leo asubuhi nilikuwa nawaza ku-mobilize wananchi na kuwaimbisha wimbo wa bongo flavor kulaani mafisadi wimbo wenyewe ni kama ifuatavyo – kiitikio tu :
Oya hoya kaa ukijua CM fisadi, x2
 
  • :lol: Only Time will Tell, CHADEMA INA NGUVU YA KANISA, UNAONA UBABE NA VITISHO WANAVYOTOA WAKATI WANAPODAI WANCHOKIITA HAKI? INGEKUWA NI CUF UNGESIKIA A LOT OF BLAA BLAA! LAKINI LETS WAIT AND SEE!

Hata kama ni nguvu ya kanisa ni sawa tu! Kwani kuna chombo cha kuaminika zaidi ya Kanisa la Mungu wa kweli - Jehovah! Mtabaki kulalamika tu - bahati nzuri mfadhili wenu mlimuua wenyewe huko Libya sijui mtapata wapi mfadhili mwingine.
 
Hv kwa umati huo kama kweli wote walipiga kura wale madiwani wa CCM walipatikanaje?Duh!Magwanda Arusha wameishaichukua jumla kwakweli duh!!
 
Magamba huko waliko wanahis kuchanganyikiwa.na walivyo na roho mbaya
 
Ukombozi wa nchi hii utaanzia kanda ya kaskazini, kanda ya ziwa, kanda ya kusini na Dar es salaam....kooote huku watu wameamka tayari na siku moja kwa pamoja watatoka kutafta haki yao kwa watawala dhalimu wa nchi hii .......na siku hiyo itakuwa ndio ukombozi wa mtanzania....na movement hiyo itachangiwa na watawala kukataa kuachia ngazi baada ya uchaguzi ambao upinzani utashinda kwa kishindo.......this day will come(hope its 2015).......i can clearly see it......considering these days' happenings......
 
Hapo kwenye red mkuu unamaanisha nyanda za juu kusini au kusini?Maana kusini ni Lindi na Mtwara ambapo sidhani kama kuna hata mwenyekiti wa mtaa kutoka CDM!!
 
Duuuuuuuu safi sana Arusha, na huu ndio mwanzo tuu libeneke lenyewe linakuja 2015.
 
Nimefurahishwa sana na umati huu. Hii ni ishara tosha kuwa waTZ wanahitaji na kutegemea siku mpya na asubuhi mpya katika mustakabali wa nchi hii. Hili lisifumbiwe macho. Wanachotaka UMMA watakipata, iwe watawala wanataka au la. CCM wameshindwa Arumeru, wamekubali, wamekua!!!! Chadema imeshinda!! Imestahili. La msingi wote tuzingatie kuwa waTZ wanataka asubuhi mpya!! Sio kazi rahisi. Mategemeo ni makubwa kuwa hatimaye kunapambazuka. Tuwe makini, tujali na kuwapa waTZ wanachokitegemea. Chadema Kila kheri!!! La msingi jipangeni.
 
Back
Top Bottom