PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

Wakazi wa Arusha wana mwamko mkubwa sana, natamani Watanzania wote waange kuwa kama wakazi wa A-town
 
Hahahahaha Picha remix hii sio yenyewe nilikuwepo uwanjani wadau ziangalieni picha hizi ni za kuunga! Kweli uongo ni aina ya unafiki! Angalieni picha hizi vizuri zimechakachuliwa!
 
Hoja hupingwa kwa hoja, haya weka za kwako ulizopiga wewe! Hata ITV nao wameunga?
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Hahahahaha Picha remix hii sio yenyewe nilikuwepo uwanjani wadau ziangalieni picha hizi ni za kuunga! Kweli uongo ni aina ya unafiki! Angalieni picha hizi vizuri zimechakachuliwa!
Propaganda za kikomunisti sasa hivi hazifanyi kazi tena watu unaoweza kuwafuma ni wale wakutoka mkoa wa Singida lakini sio wengine
 
Eti mm naona speed imekuwa kubwa sana, and the other side ni kama wanatega mtego ili pumpup hasira mradi tu ionekane ni w2 wa vurugu! Ndani ya bunge chama hakina nguvu kwani kwa vyovyote maamuzi yataishia kwenye kupiga kura.

Naona cdm wangeongeza network kwa kufungua matawi mapya, kutafuta wanachama wapya, kutoa mafunzo ya kiitikadi na sera za chama hasa vijijini na ile mikoa ilofanya vibaya na kuimarisha ngome zao. Kwa sasa ijipange tu 2015!
 
Hahahahaha Picha remix hii sio yenyewe nilikuwepo uwanjani wadau ziangalieni picha hizi ni za kuunga! Kweli uongo ni aina ya unafiki! Angalieni picha hizi vizuri zimechakachuliwa!

Moja kwa moja unakubaliana na kuwa huo umati si mchezo tatizo lako ni picha siyo??????? Haha ahaha ahaha ahahah!!!!!!!
 
Kweli sasa CHADEMA ndiyo mwokozi wa 'makabwela' kama ilivyokuwa TANU.

Na kizuri zaidi ni kuwa Watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yao wawe wakulima na wafanyakazi au wafanyabiashara au wasomi au wavuvi na wafugaji wote wameshatambua mkombozi na mtetetezi wa kweli wa nchi yao Tanzania ni CHADEMA.

Video kwa hisani ya Mr.Crashmore wa YOUTUBE
 
Last edited by a moderator:
Hivi Chadema mna nini? Mbona Dar hamji? Mmetunyima haki yetu ya kikatiba ya kuandamana kupinga chama na serikali kandamizi? Chonde chonde, njoo dar es salaam, tuikomboe nchi yetu, huku ndiyo kila kitu, Misri, Tunisia na Yemen wamekombolewa kutoka miji yao mikuu, ona Syria wanavyolipuliwa kwa kuandamana miji midogo, I humbly request chadema to see Dar kama kitovu cha ukombozi wa mtanzania,
 
Nimekubali Arusha kweli mpo juu! Mungu awabariki awaepushe na mabomu ya wanamagamba! Pe o ples !!!! !! Power
 
Hahahahaha Picha remix hii sio yenyewe nilikuwepo uwanjani wadau ziangalieni picha hizi ni za kuunga! Kweli uongo ni aina ya unafiki! Angalieni picha hizi vizuri zimechakachuliwa!
kijana acha kuweweseka ndiyo kazi inaanza ukiniuzi na weka video ya mwanzo mwisho..chadema habari nyingine mwambie kikwete aje afanye mkutano hapa arusha halafu asibebe watu na malori kutoka monduli, meru nk na asilete fiesta tuone kama a robo ya mkutano huu atafikisha na wasifunge ofsi zetu..
 
spare him, dont crush him coz he is already crushed by this victory! let him rot in hell!
viva la chadema, viva!
kijana acha kuweweseka ndiyo kazi inaanza ukiniuzi na weka video ya mwanzo mwisho..chadema habari nyingine mwambie kikwete aje afanye mkutano hapa arusha halafu asibebe watu na malori kutoka monduli, meru nk na asilete fiesta tuone kama a robo ya mkutano huu atafikisha na wasifunge ofsi zetu..
 
Mimi jamaa wanafanya makusudi yaani hii ishu ni kama mtego! Hizo cku zikiisha kisipoeleweka itakuwaje?
mkuu majibu ya nini kitatokea yalitolewa palepale..tutaandamana kwenda manispaa na safari hii tutawaomba mama ntilie nao wawepo sehemu hiyo maana hatutaru majumbani kwetu mpaka kimeeleweka..yeye andelee na uongo wake bunge siku ndiyo hivyo zina hesabika..
 
Hivi Chadema mna nini? Mbona Dar hamji? Mmetunyima haki yetu ya kikatiba ya kuandamana kupinga chama na serikali kandamizi? Chonde chonde, njoo dar es salaam, tuikomboe nchi yetu, huku ndiyo kila kitu, Misri, Tunisia na Yemen wamekombolewa kutoka miji yao mikuu, ona Syria wanavyolipuliwa kwa kuandamana miji midogo, I humbly request chadema to see Dar kama kitovu cha ukombozi wa mtanzania,
Aliongelea hii ishua hapa member mmoja nadhani alikuwa Kileo kuwa dar ni yamasharoharo na hawawezi kuamka
 
Hizi picha zinatia sana hamasa,

Hasa ukizingatia walioujaza uwanja wengi ni wananchi wa kipato cha chini, hawana ajira na access ya mikopo, na wana kila matumaini na "makamanda".

Hii inanikumbusha miaka 10 iliyopita pale viwanja vya "Kibanda Maiti" wakati Maalim Seif alipokua anahutubia baada ya wana CUF zaidi ya 20
kupigwa risasi na kufa kule Pemba wiki chache baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.

Sasa hivi Maalim kajikalia IKULU ya Zanzibar akiendeshwa na Mercedes Benz na walinzi kila upande, wa serikali ya chama kilekile alichokipinga kwa nguvu zote, na wananchi makabwela wakamuamini mpaka kuweka roho zao in the line of fire mwaka 2000. Ukiuliza kulikoni, unaambiwa kila kitabu na zama zake, hizi ni zama za SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA!

I hope and i really hope historia haitojirudia.

Tuombe uhai,...
 
Walishawahi kwenda sebuleni kwa Pinda kuongelea masuala ya Arusha(huku wakinywa vipapli).Tusubiri baada ya siku 30.
 
Back
Top Bottom