fredmlay
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,849
- 388
Sishangai kuona huo umati, kwa miaka kumi mmekuwa mkikusanya idadi kubwa ya watu kwenye mikutano yenu!
Watu wanapenda tu kuja kusikia pumba zenu! Hawakubaliani na mnachoongea, ndio maana kila uchaguzi mnagaragazwa vibaya na CCM.
Ulicho andika na nafsi yako vinapingana, siku zote nafsi iko sahii kama ni ushindi mmekuwa mkipata wa mezani (kuchakachua), huwezi kukusanya maelfu kuja kusikiliza pumba labda mwendawazimu atakubaliana na wewe.
Na je werevu ndio wale ambao huletwa kwa kubebwa na magari na kupewa 5000 na kusikiliza point za nguvu? Nafurahi kila mtu ana nafsi na yakwako inakusuta..!