PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

Ebwanahee pinda aliyewekwa pale kama kivuli nadhani anajuta ma hatorudia tena kukubali huo wadhifa
 
Wawafuatilie kwa karibu hao wajamaa isijekuwa kama ya Shibuda!
 
Pinda na wabunge wake wa ndiyoooooo wameumbuka mbayaaaaaaaaaa magamba mko juu tunawangoja kwny marudio ya uchaguziiiiii
 
WAKUU KWA KIFUPI WAMEWACHANA WAKINA MKUU WA KAYA NA MTOTO WA MKULIMA

1. imewekwa CD ya yule diwani aliye fukuzwa alipo kuwa akiwasiliana na polisi ili awape hongo polisi wazuie mikutano ya chadema jijini A town.

2. DR KAWACHANA WAZIRI MKUU KWAMBA NI MUONGO SANA NA ANAO WALAKA KAMA KAWAIDA WAKUTOKA KWA IGP KWENDA KWA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA YOTE WAKIAGIZWA WAWAOMBE PILISI RADHI NA WAWATULIZE POLISI KWA KITENDO CHA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KUDANGANYA TAIFA KWAMBA POLISI WANALIPWA POSHO YA 150,000 KUMBE UKWELI NI 100000.

3. Dr AMEDAI KUNA BAADHI YA POLISI WAMEANZA KUKAMATWA KWA KUDAI POSHO YA 150,000 KAMA ILIVYO TANGAZWA BUNGENI

4. KAMANDA MBOWE NAYE KAMCHANA PINDA KWAMBA ANAONGOZA KWA KUDANGANYA BUNGE AKITOA MFANO WA LEO ASUBUHI WA MASWALI YA PAPO KWA PAPO

5. KAMANDA AMWESEMA CHADEMA WAMETOA SIKU 30 MGOGORO UMALIZWE LA SIVYO LINAANZISHWA TENA.

6. LEMA AMESEMA ANAENDA BUBGENI KUTAKA MWONGOZO WAKE UTOLEWE NA SPIKA LA SIVYO HAKITAELEWEKA HUKO MJENGONI

7. LEMA AMESEMA HAITAJI KUSIFIWA NA ANA MAKINDA PAMOJA NA NDUGAI KWAN MKE WAKE ANATOSHA KUMSIFIA.

8. LEMA AMEDAI HAITAJI KABISA KUSIFIWA NA WABUNGE WA CCM

HAYO NDO NILIYO NASA

9. Wananchi walianza kupiga kelele kuwa Mhe Shibuda nae afukuzwe, wakati akiongea Mhe. Mbowe. Mbowe kawaomba asilitolee maelezo hilo kwa kuwa bado liko kwenye vikao vya maamuzi vya chama!

10.Inteligensia hawakuonekana eneo la tukio!

11.Makamanda wameahidi kuhudhuria kikao cha bunge cha j'mosi kutokana na unyeti wake wa kujadili bajeti ya Ngeleja na kisha kuelekeza mashambulizi hukooooo kwa RA kuchukua jimbo!

Ilikuwa nyomi ambayo ni sawa na mikutano minne ya kampeni ya JK mkoa wa Arusha ingawa tofauti na mikutano ya CCM, kwa CDM huwa hamna malori ya kusomba watu kutoka pembezoni mwa mji, hakuna kugawa t-shirts na pia watu hawavutwi na wasanii wa muziki kama Diamond n.k wanaolia njaa huko CCM.

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki CHADEMA!

Nawasilisha!
 
rchuga chadema daima dumu 2tazidi kukamua kama kawa na wale madiwani wanaojifanya wanakibri waende wakajiunge na magamba ndo wauone moto kudaaaadek!
 
Mmmh, where is Pasco and Ngongo!! Wale waliosema CHADEMA wamefanya kosa kubwa kufukuza wale madiwani wapo wapi? Nadhani tumepata ushahidi kwamba Arusha hapendwi mtu ila chama. Watu wameichoka CCM kwa kumaanisha.
Pasco huwa hajiandai kutetea hoja zake anaanzisha then anapotea anaendeshwa zaidi na itikadi.

Ngongo yeye ni ghubu la husuda lililomjaa moyoni juu ya mafanikio ya Lema kisiasa hilo halitamtoka maana Lema ndiyo anapaa hivo.
 
Nasikia leo Magogoni macho na masikio yao yalikuwa arusha wanaweweseka tu sasa, ni sawa na kumpiga mlevi kumbo.
 
JK akiona hizi picha sijui anajisikiaje. Wananchi walivyokaa mkao wa kukata tamaa ya maisha, kama ana ubinadamu ashtuke ajiulize kuna nini? Huu umati unatisha jamani dah. Jk jiuliza watu wote hawa hawana ajira? Wanapata wapi riski yao wakati serikali inawabana kila pembe.
 
Jamani hii nimeipenda sana
Kumbe watanzania ni waelewa kiasi hiki
CHADEMA mbele kwa mbele mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom